Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Figisu haziishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni defensive mechanism hakuna cha maana ndugu yangu, ikitokea biashara kashinda mechi utakuja kutuambia nini...?
Yanga hatuna utaratibu wa kununua mechi, tutashinda kwa uwezo wetu na tutafungwa au kusare kwa ubora wa mpinzani
Kidimbwi wamenunua mechi?
Ntafrahi yanga wakifungwa
Ok, ngoja game iishe tuone, wakipigwa hizo nne uje kufunguka hapa kila kitu.
Wameshanunua wanashinda Goli 4 au 7.
Hii game inaonyeshwa channel ipi?
Yanga hatuna hela ya kununua game mbona unajawa na uoga hivo.kwani kushinda kwetu leo kuna kitu kinapungua kwako?
Umekomalia kichizi yani
Umeandika ujinga ujinga tu
Haya ndio yale matikiti maji (mbumbu) Rage alisema wamejaa pale Simba.Zahera alisema Yanga ni manyani.
Ni zamu yako kununuliwaNi kweli Biashara wameuza mechi viongozi wamevuta mpunga toka HSC
Timu yenye kitengo cha miamala kwa marefa na timu pinzani ipo moja tu. Timu yenye ushawishi wa kuwezesha positive Covid 19 test ipo moja tu. Timu yenye CEO anayeshinda CAF HQ kulainisha mambo ipo moja tu.Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa.
Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC mlioambatana na Timu Jana Usiku hadi hii leo mmegombana na Kununiana pia hasa baada ya Mmoja wenu kwenda katika Ofisi Moja ya Magodoro yasiyouzika sana nchini.
Na Wewe Kocha mpya wa Biashara United FC ole wako leo uwapange Wachezaji ambao hata huwa huwapangi ndipo utanijua Mwanamichezo Mimi Generalist ambaye licha ya kuwa ni mwana Mara (Musoma) lakini pia ni Shabiki 'lia lia' na Mwanachama nisiye na Kadi wa Biashara United FC a.k.a 'Wagumu na Mafundi wa Mpira' nchini.
Na nyie Wachezaji 'Waandamizi' Wawili Mmoja Beki wa Kushoto na Wewe wa Kati (hadi Kikosi cha Taifa Stars upo na uliitwa na Kocha Paulsen) ole Wenu leo msababishe 'Faulo' za Kipumbavu jirani na Goli lenu au mzitafute Kadi za Njano na Nyekundu ili 'Kuidhoofisha' Timu yenu.
Na baada ya Mechi kama mkifungwa idadi hiyo ya Magoli kuanzia Manne hadi Saba Viongozi wa Biashara United FC mtaniambia ni kwanini Vyumba vyenu vya Kubadilishia Nguo (Dressing Room) mmekubali Vilindwe na 'Makomandoo Uchwara' wa Klabu Wapinzani wenu leo.
Ninachojua tu Generalist ni kwamba 'mtakaza' ili mtoe Sare (Draw) japo najua mtafungwa ila nataka mkifungwa mfungwe tu Goli 1-0 au 2-1 (japo najua mkabahatika) na Kushinda Mechi ya leo na hapo ndipo mtakuwa mmenifurahisha na 'sitowalipua' tena kwa 'Upuuzi' mlioufanya ambao 'nimeshapenyezewa' wote na Watu wenu hapo Kambini.
😂😂😂😂Haya ndio yale matikiti maji (mbumbu) Rage alisema wamejaa pale Simba.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wazamdiki wa kudemka hawaishi lione hili naloNipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa.
Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC mlioambatana na Timu Jana Usiku hadi hii leo mmegombana na Kununiana pia hasa baada ya Mmoja wenu kwenda katika Ofisi Moja ya Magodoro yasiyouzika sana nchini.
Na Wewe Kocha mpya wa Biashara United FC ole wako leo uwapange Wachezaji ambao hata huwa huwapangi ndipo utanijua Mwanamichezo Mimi Generalist ambaye licha ya kuwa ni mwana Mara (Musoma) lakini pia ni Shabiki 'lia lia' na Mwanachama nisiye na Kadi wa Biashara United FC a.k.a 'Wagumu na Mafundi wa Mpira' nchini.
Na nyie Wachezaji 'Waandamizi' Wawili Mmoja Beki wa Kushoto na Wewe wa Kati (hadi Kikosi cha Taifa Stars upo na uliitwa na Kocha Paulsen) ole Wenu leo msababishe 'Faulo' za Kipumbavu jirani na Goli lenu au mzitafute Kadi za Njano na Nyekundu ili 'Kuidhoofisha' Timu yenu.
Na baada ya Mechi kama mkifungwa idadi hiyo ya Magoli kuanzia Manne hadi Saba Viongozi wa Biashara United FC mtaniambia ni kwanini Vyumba vyenu vya Kubadilishia Nguo (Dressing Room) mmekubali Vilindwe na 'Makomandoo Uchwara' wa Klabu Wapinzani wenu leo.
Ninachojua tu Generalist ni kwamba 'mtakaza' ili mtoe Sare (Draw) japo najua mtafungwa ila nataka mkifungwa mfungwe tu Goli 1-0 au 2-1 (japo najua mkabahatika) na Kushinda Mechi ya leo na hapo ndipo mtakuwa mmenifurahisha na 'sitowalipua' tena kwa 'Upuuzi' mlioufanya ambao 'nimeshapenyezewa' wote na Watu wenu hapo Kambini.
Analainisha lainisha yaaniTimu yenye kitengo cha miamala kwa marefa na timu pinzani ipo moja tu. Timu yenye ushawishi wa kuwezesha positive Covid 19 test ipo moja tu. Timu yenye CEO anayeshinda CAF HQ kulainisha mambo ipo moja tu.
Lakini tunajua njia yao inaekekea ukingoni. Na hatubadili ID zetu kuyajua haya.
Wewe ni gentamicine hakikaNipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa.