Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

Hii ni defensive mechanism hakuna cha maana ndugu yangu, ikitokea biashara kashinda mechi utakuja kutuambia nini...?

Yanga hatuna utaratibu wa kununua mechi, tutashinda kwa uwezo wetu na tutafungwa au kusare kwa ubora wa mpinzani

Ikitokea Biashara United FC ikashinda ndiyo itakuwa Furaha yangu Kubwa mno kwani Yanga SC siipendi kuliko hata Rais wa Mashetani Lucifa.
 
Ok, ngoja game iishe tuone, wakipigwa hizo nne uje kufunguka hapa kila kitu.
 
Ok, ngoja game iishe tuone, wakipigwa hizo nne uje kufunguka hapa kila kitu.

Eti nasikia baada ya Kuusoma huu Uzi Wahusika wameogopa hivyo Kukubaliana Yanga SC ashinde Goli 1-0 au 2-1 au 3-2 ila ikibidi hata watoke Sare ( Suluhu ) kabisa.
 
Yanga hatuna hela ya kununua game mbona unajawa na uoga hivo.kwani kushinda kwetu leo kuna kitu kinapungua kwako?

Umekomalia kichizi yani
 
Timu yenye kitengo cha miamala kwa marefa na timu pinzani ipo moja tu. Timu yenye ushawishi wa kuwezesha positive Covid 19 test ipo moja tu. Timu yenye CEO anayeshinda CAF HQ kulainisha mambo ipo moja tu.

Lakini tunajua njia yao inaekekea ukingoni. Na hatubadili ID zetu kuyajua haya.
 
Wazamdiki wa kudemka hawaishi lione hili nalo
 
Analainisha lainisha yaani
 
Wewe ni gentamicine hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…