Biashara United (Mara) | Special Thread

Pongezi biashara mmejitahidi timu ya nyumbani..
hawa Makwasukwasu Tpl hawatoki pale Musoma
 
Kocha wenu kichaa game umeidhibiti unaanza kutoa wachezaji wazuri,mfano waziri Jr,alipotolewa nikajua tutapata matokeo,japo pale majukwaani tuliteseka leo maana madogo wangeamua kujilipua mngetufunga
 
Pongezi biashara mmejitahidi timu ya nyumbani..
hawa Makwasukwasu Tpl hawatoki pale Musoma
Musoma msimu tangu uanze uwanja wako wa nyumbani umeshinda game 1 Au 2 tu,tutakuua hapohapo kwako
 
6.02.2019_Jkt Tanzania v/s Biashara United live
 
Hii thread imepoa, biashara inaweza shuka daraja.
 
Yanga ukiwa taifa unasumbuliwa itakuaje Leo umemfata getho kwake hahahaaa yangu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…