MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Timu zote zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ni mali ya Tanzania acheni kuleta ukabila tuisapoti timu.
Atupile naye ni mtu na nusuTukiacha usimba na uyanga biashara wanajua Sana
Huyu Chombo ni Chombo kweli
Simba wangemununua akamaliza tatizo la chama
Aliwai kucheza simba huyu..mbali na ubora. Wake ndio anamalizia soka lakeTukiacha usimba na uyanga biashara wanajua Sana
Huyu Chombo ni Chombo kweli
Simba wangemununua akamaliza tatizo la chama
Game fitness hawana.Jamaa sijui Wana tatizo gani, walianza kuchoka mapema Sana mmoja alifikikia kutapika uwanjani. Biashara walikua fiti kwa dakika zote na Kama si uchoyo wa Deogratuius Mafie Biashara wangeweza kufunga zaidi ya goli mbili.
Deo anaujua sana!Deo judika mafie
Wakati akicheza Simba alikuwa bora mara tatu ya hapo unavyomuona!Tukiacha usimba na uyanga biashara wanajua Sana
Huyu Chombo ni Chombo kweli
Simba wangemununua akamaliza tatizo la chama
Atupele alivyokuwa yanga ya vijana humsemei...Wakati akicheza Simba alikuwa bora mara tatu ya hapo unavyomuona!
Pale Tang'ana anapoamua kutema cheche. Tawi la Yanga ni ALLY HAPI si unaona alivyoiuza LIPULI kule Iringa hadi ikashuka daraja. Ningeweza kuwashauri Viongozi wa Biashara wamweke Kando huyo Ally Happi atawaharbia timu na kupandikiza majungu kama ilivyo asili yake.Wachezaji wa hii timu wana spirit ya ushindi sana.ingawa naskia ni tawi la yanga hili.
Biashara wameanza gemu saa 9 alasiri, joto la Dar na jua kali la kukera lazima ujiskie kama uko kwenye tanuru la moto. Ni mbinu za kiutu uzima Biashara wameamua kuzitumia.Jamaa sijui Wana tatizo gani, walianza kuchoka mapema Sana mmoja alifikikia kutapika uwanjani. Biashara walikua fiti kwa dakika zote na Kama si uchoyo wa Deogratuius Mafie Biashara wangeweza kufunga zaidi ya goli mbili.
Wanajeshi wa mpakani tuna miiko yetu ..siasa zenu hazina mashiko.... Bukwaya, majita, ushashi, zanaki,jaluo,kirobha,ikizu, ruri, simbiti na wote... Tutaipambania timu yetuPale Tang'ana anapoamua kutema cheche. Tawi la Yanga ni ALLY HAPI si unaona alivyoiuza LIPULI kule Iringa hadi ikashuka daraja. Ningeweza kuwashauri Viongozi wa Biashara wamweke Kando huyo Ally Happi atawaharbia timu na kupandikiza majungu kama ilivyo asili yake.