Biashara United (Mara) | Special Thread

Biashara United (Mara) | Special Thread

Next time tukipeleka team 4 CAF kwenye pre season wa 4 acheze na wa 2 na wa 3 acheze na 1, watu waache ujanja janja.
 
Tukiacha usimba na uyanga biashara wanajua Sana

Huyu Chombo ni Chombo kweli

Simba wangemununua akamaliza tatizo la chama
 
Aliwai kucheza simba huyu..mbali na ubora. Wake ndio anamalizia soka lake
 
Jamaa sijui Wana tatizo gani, walianza kuchoka mapema Sana mmoja alifikikia kutapika uwanjani. Biashara walikua fiti kwa dakika zote na Kama si uchoyo wa Deogratuius Mafie Biashara wangeweza kufunga zaidi ya goli mbili.
 
Game fitness hawana.
 
Wachezaji wa hii timu wana spirit ya ushindi sana.ingawa naskia ni tawi la yanga hili.
Pale Tang'ana anapoamua kutema cheche. Tawi la Yanga ni ALLY HAPI si unaona alivyoiuza LIPULI kule Iringa hadi ikashuka daraja. Ningeweza kuwashauri Viongozi wa Biashara wamweke Kando huyo Ally Happi atawaharbia timu na kupandikiza majungu kama ilivyo asili yake.
 
Jamaa sijui Wana tatizo gani, walianza kuchoka mapema Sana mmoja alifikikia kutapika uwanjani. Biashara walikua fiti kwa dakika zote na Kama si uchoyo wa Deogratuius Mafie Biashara wangeweza kufunga zaidi ya goli mbili.
Biashara wameanza gemu saa 9 alasiri, joto la Dar na jua kali la kukera lazima ujiskie kama uko kwenye tanuru la moto. Ni mbinu za kiutu uzima Biashara wameamua kuzitumia.
 
Pale Tang'ana anapoamua kutema cheche. Tawi la Yanga ni ALLY HAPI si unaona alivyoiuza LIPULI kule Iringa hadi ikashuka daraja. Ningeweza kuwashauri Viongozi wa Biashara wamweke Kando huyo Ally Happi atawaharbia timu na kupandikiza majungu kama ilivyo asili yake.
Wanajeshi wa mpakani tuna miiko yetu ..siasa zenu hazina mashiko.... Bukwaya, majita, ushashi, zanaki,jaluo,kirobha,ikizu, ruri, simbiti na wote... Tutaipambania timu yetu
 
Back
Top Bottom