Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Refa kalikataa likikuwa lishaingiaWanapigwa la 3 sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa kalikataa likikuwa lishaingiaWanapigwa la 3 sasa hivi
Biashara lazima ishuke daraja na yanga ndo tunaenda kuishusha daraja biashara united team ya wajita
Wakendelee na biashara zingine hii ya mpira waachane nayoBiashara lazima ishuke daraja na yanga ndo tunaenda kuishusha daraja biashara united team ya wajita
Wana mara tuisupport timu yetu,ila ikicheza na Yanga mtanisamehe,ila nitahakikisha Simba hashindi😁😁😁😁🏃Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara.
Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania
Baada ya Amri said kuja, anawajua wachezaji wa kibongoKwa sasa timu yetu ina uhai kidogo
Matokeo vp huko FTuwanjani
FT 2-2. Wanaingia kupigiaana penalties
Sent using Jamii Forums mobile app