Biashara United (Mara) | Special Thread

Biashara United (Mara) | Special Thread

Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara.

Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga Singida united goli 1 kwa 0 kwa mechi yao ya kwanza ugenini katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania
Wana mara tuisupport timu yetu,ila ikicheza na Yanga mtanisamehe,ila nitahakikisha Simba hashindi😁😁😁😁🏃
 
Biashara united inaongoza goli 2 kwa 1 dhidi ya yanga
 
Matheo Anton katoka kavaa msuli looo[emoji16][emoji16][emoji16] mimba ila ina baba
 
Back
Top Bottom