Hapa ndo nimekuelewa, zipo ambazo hazichujagi zipogo tu.ushirikina upo
Hiyo pia inaondoa mazoea na mikopoBar zingine huwa wanabadilisha wahudumu kila baada ya miezi mitatu ili wateja wapate ladha mpya wasihame
Hiyo biashara mfano ya Bar,mf.Kitambaa cheupe,Element,Makuti.msamvu,Sunrise Mbeya,Fournight Moro,msamvu pub,Frolida Bar,Gloneny 88,Pale zinapokuwa kwenye chat,wekeza kwenye real estate,wekeza kwenye vituo vya mafuta,nunua malori ya mchanga,Jenga apartment n.kNimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup!
Ni kama vile wateja huwa wapo bluetooth connected, akili zao zimeunganika, wakiamua kuanza kuja utakusanya sana pesa zao, ila wakiamua kuhama ni kwa style hio hio kama walivyokuja.
Machawa ndio wazinguajiKuna wateja huwa wanafata wateja Fulani,hawafati huduma,mazingira Wala wadada wa bar..akihama huyo mteja kimkoa, au akahamia bar nyingine utaona Kuna baadhi ya wateja wanapungua
Ukifika Ifakara usikose kwenda kiwanja kipya Twins Pub maeneo ya posta, jamaa Hana mzuka wa mademu Wahudumu wabovu sana, aendelee kujipanga, uwekezaji mzuri ila Wahudumu zero bar haina pisi kali hapo kawekeza matope , TV nyingi ila hana mtu wa maana wa kutoa furaha kwa mechi za siku hio hovyoNimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup!
Ni kama vile wateja huwa wapo bluetooth connected, akili zao zimeunganika, wakiamua kuanza kuja utakusanya sana pesa zao, ila wakiamua kuhama ni kwa style hio hio kama walivyokuja.