Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

Nimeona mahesabu makali nikajua unatupa mrejesho kumbe ni matarajio?
 
Wewe unaongelea kisaloon-hivi ebu fika pale kona ya barabara ya jengo la global tv sinza utaona mfano wa Barbershop inavokua
Hiyo biashara labda niwekeze 1.5 million haizidi hapo tena hapo ni kwa lengo la kumpa ulaji mshikaji wa kitaani tu awe anapata za kula, ila ni aina ya biashara ambazo siziamini kabisa
 
Mimi nadhani mkuu Ata iwe location ya mabibo kimsingi tu quality iwe imenyooka, 5k sio mbaya sana Ila Sasa mwenye saloon anapaswa awe mjanja sana aongee na wadada vZuri 😁customer magnetization
Kibongo Customer care ni mbovu sana kila sehemu.
People hazijali quality of services wao wanajali gharama ya services tu
 
Fukuza hao wafanyakazi Yan sometime wachina nawakubali kwenye hio miti kasi, au watu GGM Yan dereva akikwangua Ata taa ya gari anakula adhabu nidhamu inakuwepo
Kibongo Customer care ni mbovu sana kila sehemu.
People hazijali quality of services wao wanajali gharama ya services tu
 
Wewe huwezi kufanya biashara kama una hiyo mentality
Hakuna cha mentality wala nini.

Theory ni nyingi kuliko uhalisia.

Mtu huwezi kunyoa kila siku kwa siku 30 mfululizo kwa mwaka mzima.

Kuna siku kinyozi ataumwa kuna siku umeme utakatika hapo kuna pesa ushazikosa.

Sio kila siku utapata wateja ishirini kuna siku idadi itapungua.

Hapo pia kuna pesa ushaikosa.

We fanya tu hii biashara but usiiweke kinadharia kupita kiasi.
 
Tena umenikumbusha hivi barbershop unakoswaje generator na nadhani Unazijua bei za stationary na za vinyoz wanapotumia generator

Kuhusu kinyozi kuumwa. Hawawezi umwa wote uzuri wao Vinyozi wanajuana kuna vijana wa deiwaka inapigwa

Watu wa procurement kuna kitu wanasemaga actual price(bei halisi Baada ya manunuzi) na standard price (bei ya makadirio kabla hujanunua)

Namimi hapa nimeweka standard sales

Sasa hiyo actual sales inaweza ikaanzia hapo kweny standard sales, ikashuka au ikapanda mkuu
 
Wazo zuri, ila biashara ni wateja. Embu tupe na strategy zakuwapata wateja ili hizo 20M baada yakipindi fulani ziwe zimerudi
 
 
min -me, makutupora, dosho12, Monetary doctor, njooni muone huu utumbo 🤣😂
Any way njoen niwauzie chakula Cha samaki vipo, nipo Kigamboni Machava.

Jamaa anaijua finance? Tunahitaji atupe financial analysis kwenye Payback period, Annual Rate Return, Net Profit Value sikumbuk Ila ni NPV,

Nahitaji unielkeze kuhusu cash flow ya hiyo barbershop vizuri!

Mwishoni naomba financial statements ambazo ni audited za Jose saloon ama cutting master barbershop tujidhihirishe Bolotoba
 
😂Io-NPV=SUMMATION OF NPV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…