malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana broLaki na nusu halafu upate faida nusu 😂🤣una wazimu Bora ingekuwa million na nusu acha kuota amka utakojoa.
Anza na Kariakoo kwanza kuna machimbo ila ujue kwanza unataka nini unaenda chimbo wanunua kitu wauza mtandaoni ukiaminika unapewa mzigo mali kauli ukiuza wapeleka pesa ya watu.
bidhaa gn ulizo anza nazo?Inawezekana bro
Nilianza biashara ya kuagiza bidhaa china kwa mara ya kwanza nikiwa na laki 2 tu nikiwa home
Mzigo wa kwanza niliingiza faida zaidi ya mara 2 ya bei niliyonunulia
Wa pili mara 3 na zaidi
Biashara hiyo ilinifanya nianze maisha ya kujitegemea mwenyewe na kuhama nyumbani
Mwaka gani huo mkuu na ulikua unauzia wapInawezekana bro
Nilianza biashara ya kuagiza bidhaa china kwa mara ya kwanza nikiwa na laki 2 tu nikiwa home
Mzigo wa kwanza niliingiza faida zaidi ya mara 2 ya bei niliyonunulia
Wa pili mara 3 na zaidi
Biashara hiyo ilinifanya nianze maisha ya kujitegemea mwenyewe na kuhama nyumbani
Unaweza anza na hii product- SIM Card Case: kuna jamaa anaziuza Hapa Dar kwa Tzs 70,000😂😂China ni kama Elfu 2-5 Kimoja. Wewe utaviuza elfu 30 each ,Tengeneza elfu 20 kila kimoja. Utaagiza na kuagiza mpaka mtaji ukuwe. Kisha njoo tena useme mtaji ulionao ntakupa business Ideal usonge mbele zaidi...Usiogope kuna mtu alianza Biashara kwa mtaji wa elfu 50. Now ni billionea na ajatumia uchawi wala nini. Biashara ni Sayansi... unaweza pewa mtaji 1 Billion ukaisha woote bila kufanya kitu, aliepewa 30 elfu na kuanza biahashara ya Chips now anamiliki Bar yenye wahudumu 25mfano wa bidhaa ambazo zinawez kuuzika kwa harak ni zp?
NAOMBA LINKInawezekana mkuu alibaba kuna baadhi ya supplier wanauza hadi 2 pieces
Labda hizo Alibaba na AliExpress sio kuagiza China kwa wafanyabiashara.Inawezekana bro
Nilianza biashara ya kuagiza bidhaa china kwa mara ya kwanza nikiwa na laki 2 tu nikiwa home
Mzigo wa kwanza niliingiza faida zaidi ya mara 2 ya bei niliyonunulia
Wa pili mara 3 na zaidi
Biashara hiyo ilinifanya nianze maisha ya kujitegemea mwenyewe na kuhama nyumbani
Em tupe elim zaid kuhusMimi nilianza na mtaji wa 200k nilianza na 10 pieces za bidhaa fulani sasa hivi mtaji wangu umefika 2M
Nenda alibaba angalia bidhaa ambayo kwa piece 1 thamani yake kuanzia elfu 4 hadi elfu 12 hakikisha bakiza pesa inayokatwa na alibaba na MasterCard bila kusahau shipping fee
Umemjibu harsh sana, hadi sio poa 🤔Laki na nusu halafu upate faida nusu 😂🤣una wazimu Bora ingekuwa million na nusu acha kuota amka utakojoa.
Anza na Kariakoo kwanza kuna machimbo ila ujue kwanza unataka nini unaenda chimbo wanunua kitu wauza mtandaoni ukiaminika unapewa mzigo mali kauli ukiuza wapeleka pesa ya watu.
😭😭😭😭😭Anisamehe bureUmemjibu harsh sana, hadi sio poa 🤔
Chupi za kike!mfano wa bidhaa ambazo zinawez kuuzika kwa harak ni zp?
sas hpo kweny io strategy yako si mteja atasubr Sana maan mpk mzigo kufika ni mwez na zaidIngia AliExpress nunua vitu vidogo dogo kama lipstick,hereni ,wanjan.k unzia hapo.
baada ya hapo ingia fb andaa tangazo lipia bajeti iwe Dola 10 kuanzia target vizuri.
Mimi nilianza na bando tu na ela ya kulipia tangazo nikapata oda ndio nikaanza kuagiza.so plan well.kila la heri
Laki na nusu halafu upate faida nusu 😂🤣una wazimu Bora ingekuwa million na nusu acha kuota amka utakojoa.
Anza na Kariakoo kwanza kuna machimbo ila ujue kwanza unataka nini unaenda chimbo wanunua kitu wauza mtandaoni ukiaminika unapewa mzigo mali kauli ukiuza wapeleka pesa ya watu
AliExpress ndani ya siku 14 mzigo umefika speedaf wanakuletea Hadi mlangoni.tena Kuna zile free shippingsas hpo kweny io strategy yako si mteja atasubr Sana maan mpk mzigo kufika ni mwez na zaid
Alibaba hata ukitaka kitu kimoja unauziwa mkuuAlibaba hawajawahi kuuza bidhaa rejareja