Biashara ya bidhaa kutoka China

Inawezekana bro

Nilianza biashara ya kuagiza bidhaa china kwa mara ya kwanza nikiwa na laki 2 tu nikiwa home

Mzigo wa kwanza niliingiza faida zaidi ya mara 2 ya bei niliyonunulia

Wa pili mara 3 na zaidi

Biashara hiyo ilinifanya nianze maisha ya kujitegemea mwenyewe na kuhama nyumbani
 
bidhaa gn ulizo anza nazo?
 
Mwaka gani huo mkuu na ulikua unauzia wap
 
mfano wa bidhaa ambazo zinawez kuuzika kwa harak ni zp?
Unaweza anza na hii product- SIM Card Case: kuna jamaa anaziuza Hapa Dar kwa Tzs 70,000😂😂China ni kama Elfu 2-5 Kimoja. Wewe utaviuza elfu 30 each ,Tengeneza elfu 20 kila kimoja. Utaagiza na kuagiza mpaka mtaji ukuwe. Kisha njoo tena useme mtaji ulionao ntakupa business Ideal usonge mbele zaidi...Usiogope kuna mtu alianza Biashara kwa mtaji wa elfu 50. Now ni billionea na ajatumia uchawi wala nini. Biashara ni Sayansi... unaweza pewa mtaji 1 Billion ukaisha woote bila kufanya kitu, aliepewa 30 elfu na kuanza biahashara ya Chips now anamiliki Bar yenye wahudumu 25
 

Attachments

  • IMG_5282.jpeg
    120.5 KB · Views: 48
  • IMG_5283.jpeg
    95 KB · Views: 43
  • IMG_5284.jpeg
    104.8 KB · Views: 41
  • IMG_5285.jpeg
    130 KB · Views: 38
  • IMG_5287.jpeg
    73.6 KB · Views: 42
  • IMG_5288.jpeg
    153.9 KB · Views: 40
  • IMG_5289.jpeg
    136.1 KB · Views: 37
  • IMG_5286.jpeg
    121.7 KB · Views: 48
Labda hizo Alibaba na AliExpress sio kuagiza China kwa wafanyabiashara.

Mie ni Mama Dada sio mkaka 😁sijui kwanini jina hili naonekana Me sio Ke
 
Ingia AliExpress nunua vitu vidogo dogo kama lipstick,hereni ,wanjan.k unzia hapo.
baada ya hapo ingia fb andaa tangazo lipia bajeti iwe Dola 10 kuanzia target vizuri.
Mimi nilianza na bando tu na ela ya kulipia tangazo nikapata oda ndio nikaanza kuagiza.so plan well.kila la heri
 
Umemjibu harsh sana, hadi sio poa 🤔
 
Watanzania wengi wakifikiria biashara, huwa ni ya kununua biadhaa na kuziuza kwa faida tu. Hufanya hivyo bila kuangalia kama wanunuaji wapo wa kutosha kwani wauzaji huongezeka kila mara.
Ni mara chache sana kusoma mtanzania anataka kuanzisha biashara kwa kuongeza thamani kwenye bidhaa au kwa kutengeneza biadhaa yake unique.
 
sas hpo kweny io strategy yako si mteja atasubr Sana maan mpk mzigo kufika ni mwez na zaid
 

sas hpo kweny io strategy yako si mteja atasubr Sana maan mpk mzigo kufika ni mwez na zaid
AliExpress ndani ya siku 14 mzigo umefika speedaf wanakuletea Hadi mlangoni.tena Kuna zile free shipping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…