tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Samahani ndugu hebu nisaidie maelezo kwa kina juu ya bima kubwa na faida zakeHii bishara kwa kweliii inahitaji moyo mm nilinunua last year mwezi wa kumi ilinipa changamoto kubwa sana hasa kwa dereva..
Yan dereva alikua mwongo afu boda anaigawa kama karanga za kuonja..
Worse case ikaibiwa this year mwezi wa nane.. ninachoshukuru Mungu wakati nanunua niliiweka bima kubwa hivyo bima now wamenilipa ila kwa kifupi biashara hii wanafanya iwe ngumu ni madereva hesabu....
Now nmeamua kufanya biashara ya kukopesha (microfinance) nayo inachangamoto zake ila sio kama boda boda...
Kama utanunua boda boda uwe na dereva mzuri na uweke bima kubwa....
Bima kubwa ina cover kama pikipiki ikipotea na ikathibika kwenye report ya polisi kwamba kweli imeibiwa au kupata ajali ambayo chombo kimeharibika katika kiwango cha kulipwa pikipiki mpya basi utalipwa (Bima watakulipa pesa inayo karibia thaman ya pikipiki eg pikipiki ya 2m watakulipa arround 1.5-1.7m). ni hayo tu mkuu ukienda kwa mawakala wa bima watakueleza zaid.Ple Samahani ndugu hebu nisaidie maelezo kwa kina juu ya bima kubwa na faida zake
ni ivii boda boda ukiwa shm yenye watu wengi unaweza pata hata 50000 kwa siku ila ukiwa sehemu mbovu hata elfu 12 ni ngumu kupata honestly mm ndo nafanya iyo na nipo sokon sterio temeke(dsm) pale papo safi sana kupata 40 ni kawaida sana yan kuamka saa 12 kufika saa 7 nipo hoi mpaka abiria staki kuwaona naenda hom kulala mpaka kesho wengine wanaunga mpaka saa 12 linapofungwa soko so wanapata zaid sema hao wanakua na pikipik amabazo sio zao wengine mkataba....so bodaboda ukiwa na location nzuri ni magori sanaaa mkuuNawasalimu.
Ninachoipendea jamiiforums ina watu wa kila aina. Humu wapo madereva bodaboda, mabosi walioajiri hao bodaboda na abiria wa boda boda.
siku za hivi karibuni nimefikiriafikiria biashara ya bodaboda kwa kuifanya mwenyewe. Utafiti mdogo nimeona wengi wanaoifanya wenyewe wanapata wastani wa 12,000/= kama faida. yaani anaweza kupata kuanzia 8000-16000/= kwa siku.
kwa wale wanaoajiri dereva, kwa siku wanapokea 7000= tu. maana yake kinachobaki ni faida ya dereva.
Bado najiuliza, ipi ni busara, ukiwa na mtaji tuseme 2M, ununue bodaboda uwe unapiga kazi mwenyewe au ubuni biashara nyingine ambayo itakuingizia faida kubwa zaidi?
Mfano labda ufungue duka la vitu mbalimbali, au kibanda cha chipsi ama biashara nyingine ya huo mtaji wa 2M, haiwezi kukuletea faida zaidi ya hiyo bodaboda?
kwamba hakuna biashara ya kuleta faida ya zaidi ya 30,000/= kwa siku kwa mtaji wa 2M? Naombeni maoni yenu ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawashauri nini wale wanaosema vyuma vimekaza?bo
ni ivii boda boda ukiwa shm yenye watu wengi unaweza pata hata 50000 kwa siku ila ukiwa sehemu mbovu hata elfu 12 ni ngumu kupata honestly mm ndo nafanya iyo na nipo sokon sterio temeke(dsm) pale papo safi sana kupata 40 ni kawaida sana yan kuamka saa 12 kufika saa 7 nipo hoi mpaka abiria staki kuwaona naenda hom kulala mpaka kesho wengine wanaunga mpaka saa 12 linapofungwa soko so wanapata zaid sema hao wanakua na pikipik amabazo sio zao wengine mkataba....so bodaboda ukiwa na location nzuri ni magori sanaaa mkuu
Baada ya kuona hii imenizingua, nikahamia kwenye Bajaji.Kila kazi inalipa inategemea na anayeifanya.
Mimi nina bodaboda tano. Ni kazi inayohitaji uwe na wateja wakudumu wasiopungua kumi. Inahitaji uwe na mafungamano na wafanyabiashara ambao utawabebea vifurushi na mizigo ya hapa na pale.
Kama utaweza. Hapo kitaani tembelea kila nyumba yenye watoto wa Nursery uwabebe kwenda shule na kurudi kwa mwezi ni elfu thelasini. Ukipata wanafunzi kumi ni laki tatu.
Kwa ujumla kila kazi ni akili