tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Ple
Samahani ndugu hebu nisaidie maelezo kwa kina juu ya bima kubwa na faida zakeHii bishara kwa kweliii inahitaji moyo mm nilinunua last year mwezi wa kumi ilinipa changamoto kubwa sana hasa kwa dereva..
Yan dereva alikua mwongo afu boda anaigawa kama karanga za kuonja..
Worse case ikaibiwa this year mwezi wa nane.. ninachoshukuru Mungu wakati nanunua niliiweka bima kubwa hivyo bima now wamenilipa ila kwa kifupi biashara hii wanafanya iwe ngumu ni madereva hesabu....
Now nmeamua kufanya biashara ya kukopesha (microfinance) nayo inachangamoto zake ila sio kama boda boda...
Kama utanunua boda boda uwe na dereva mzuri na uweke bima kubwa....