Kwa Sasa Nipo Mwanza.....Ndio Changamoto ni hiyo sana Sana ndo Naambiwa na Kukumbana NayoUko mkoa gani?
Kwa ujumla biashara hii ina changamoto sana hasa vijana ni pasua kichwa!!
Yeah kuna mikataba mnaandikishana japo nayo kwa sasa ni maumivu tuuu!! Vijana kwa sasa ni pasua kichwa!!Kwa Sasa Nipo Mwanza.....Ndio Changamoto ni hiyo sana Sana ndo Naambiwa na Kukumbana Nayo
Ingawa wengine wanasema Kuwa wakupigie Kazi Yako baada Ya mwaka Wakulipe Hela Yako then Uwaachie Pikipiki... Sasa Hii kwangu Changamoto aisee
Changamoto gani ulikutana Nazo mkuu kwa Hao VijanaYeah kuna mikataba mnaandikishana japo nayo kwa sasa ni maumivu tuuu!! Vijana kwa sasa ni pasua kichwa!!
Mi nilinunua 10 kipindi cha mwanzo nikaona wasumbufu nikauza ila ukipata waaminifu utafurahi...
Kwa sasa nipo kwenye ma bus japo nao ni pasua kichwa!! All in all biashara bongo yahitaji kifua sana!!
Unajua utu uzima kidogo so nilikuwa very busy nikakosa muda kabisa wa kuwa nao karibu hivyo walikua wakinizungusha walivyoona sina muda nao nikaamua kuuza...Changamoto gani ulikutana Nazo mkuu kwa Hao Vijana
Haina Faida Au ?Mkuu achana nayo, ni upotezaji wa muda tu
afanye kipi kisichopoteza muda? kama ameamua kwa kumaanisha afanye nina ndugu yangu kabisa ni mwalimu lakini anajiendeleza na bachelor pale Teku anaishi kwa bodaboda tena moja KILA KITU UTHUBUTUMkuu achana nayo, ni upotezaji wa muda tu
Asante hata kwa Kunipa Moyoafanye kipi kisichopoteza muda? kama ameamua kwa kumaanisha afanye nina ndugu yangu kabisa ni mwalimu lakini anajiendeleza na bachelor pale Teku anaishi kwa bodaboda tena moja KILA KITU UTHUBUTU
KAZI ZOTE ZINA CHANGAMOTO
cha kuambiwa changanya na zako mkuu ila kwenye kutafuta pikipiki ya kununua jitahidi kuwasiliana na mafundi kabla hujainunua hasa za mkononi na kingine kijana wa kuendesha tafuta mwaminifu na mchapa kazi wapo usitishikeAsante hata kwa Kunipa Moyo
Mkuu nami nakutia moyo... kama una muda mzuri wa kufwatilia fanya tu utafurahi....Asante hata kwa Kunipa Moyo
du mkuu mbona jibu lako linakatisha tamaaUtaendesha mwenyewe....???
Utanyanganywa.
Utampa dereva..??
Itaibiwa
Achana na hiyo biashara kichaa
Mkuu biashara ni nzuri ila kuna changamoto za hapa na pale zipo ila sio sana jaribu kumpata mtu anayejielewa ili kuepukana na matatizo yaliopo na kila biashara unayoiona ina changamoto zakewakuu nataka kununua bodaboda, naombeni kujua kuhusu hii biashara ya usafirishaji abilia kwa bodaboda….nini ni changamoto zake, faida na hasara?
Wanakamatwa sana na trafik barabarani kulipa fine, pia sio watunzaji wa pikipiki zina gharimu kufanya srevice kila mara
Kama vijana wanasumbua, tafuta mtu mzima...........Vijana wanasumbua sana, tafuta bajaji