Biashara ya boda boda

Biashara ya boda boda

Uko mkoa gani?

Kwa ujumla biashara hii ina changamoto sana hasa vijana ni pasua kichwa!!
Kwa Sasa Nipo Mwanza.....Ndio Changamoto ni hiyo sana Sana ndo Naambiwa na Kukumbana Nayo

Ingawa wengine wanasema Kuwa wakupigie Kazi Yako baada Ya mwaka Wakulipe Hela Yako then Uwaachie Pikipiki... Sasa Hii kwangu Changamoto aisee
 
Yeah kuna mikataba mnaandikishana japo nayo kwa sasa ni maumivu tuuu!! Vijana kwa sasa ni pasua kichwa!!

Mi nilinunua 10 kipindi cha mwanzo nikaona wasumbufu nikauza ila ukipata waaminifu utafurahi...

Kwa sasa nipo kwenye ma bus japo nao ni pasua kichwa!! All in all biashara bongo yahitaji kifua sana!!
 
Changamoto gani ulikutana Nazo mkuu kwa Hao Vijana
 
Changamoto gani ulikutana Nazo mkuu kwa Hao Vijana
Unajua utu uzima kidogo so nilikuwa very busy nikakosa muda kabisa wa kuwa nao karibu hivyo walikua wakinizungusha walivyoona sina muda nao nikaamua kuuza...

But kuna watu inawalipa sana lkn wana muda wa kufwatilia.
 
Mkuu achana nayo, ni upotezaji wa muda tu
afanye kipi kisichopoteza muda? kama ameamua kwa kumaanisha afanye nina ndugu yangu kabisa ni mwalimu lakini anajiendeleza na bachelor pale Teku anaishi kwa bodaboda tena moja KILA KITU UTHUBUTU

KAZI ZOTE ZINA CHANGAMOTO
 
Asante hata kwa Kunipa Moyo
 
Asante hata kwa Kunipa Moyo
cha kuambiwa changanya na zako mkuu ila kwenye kutafuta pikipiki ya kununua jitahidi kuwasiliana na mafundi kabla hujainunua hasa za mkononi na kingine kijana wa kuendesha tafuta mwaminifu na mchapa kazi wapo usitishike
 
Wakuu,

Nataka kununua bodaboda, naombeni kujua kuhusu hii biashara ya usafirishaji abilia kwa bodaboda, nini ni changamoto zake, faida na hasara?
 
Utaendesha mwenyewe....???
Utanyanganywa.
Utampa dereva..??
Itaibiwa
Achana na hiyo biashara kichaa
 
Ukweli ni mchungu lakini hiyo ndiyo fact
Ukimpa kijana kwa mkataba labda awe mtoto wa dada yako na awe mbali na viroba....pia ataporwa hiyo bodaboda au ugomvi wa kifamilia utazuka
 
wakuu nataka kununua bodaboda, naombeni kujua kuhusu hii biashara ya usafirishaji abilia kwa bodaboda….nini ni changamoto zake, faida na hasara?
Mkuu biashara ni nzuri ila kuna changamoto za hapa na pale zipo ila sio sana jaribu kumpata mtu anayejielewa ili kuepukana na matatizo yaliopo na kila biashara unayoiona ina changamoto zake
 
Wanakamatwa sana na trafik barabarani kulipa fine, pia sio watunzaji wa pikipiki zina gharimu kufanya srevice kila mara
 
Back
Top Bottom