Biashara ya boda boda


Siku hizi ni miezi 10 tu mwaka hawataki. Bila hivyo unakodi kwa 50 kwa wk
 
Habari za Leo wana JF?

Ndugu zangu naombeni mnishauri mwenzenu. Mtaji niliopata ni laki 7, nahitaji kununua bodaboda kwa ajili ya biashara ya bodaboda.

Je, biashara hiyo inaweza kunitoa kweli?
 
Uendeshe mwenyewe .
Usikodiwe na watu usiowafahamu ili uwapeleke sehemu usiyoifahamu.

Uvae kofia na abiria wako.

Mwisho, usiitumie bodaboda yako kula wanafunzi au wake za watu , maana ukifanya hivyo tu kwa mwanafunzi na msichana chini ya miaka 18 basi wewe ni jela 30 years na kazi ngumu.
Ila kwa mke wa mtu, utaliwa Jaza Ujazwe a.k.a 0713 yako.

Kila la kheri.
 
Wakuu, natumaini kila mmoja ni buheri wa afya !!!...

Kuna kahela nimekapiga fasta fasta nje ya mzunguko wangu sasa nataka nikaweke katika mzunguko wa kujitegemea.

Naomba kujuzwa ni pikipiki ya aina gani inafaa kwa Ujasiriamali wa bodaboda. Ningependa kujua Ubora, Utumiaji wake wa mafuta na maisha yake(durability).

Pia garama yake ICHEZEE 1.2M-1.6M.

Natanguliza Shukrani kwenu

* no one wants to be treated like an option.*
 
Ukipata dereva mbaya huwa ni pasua kichwa ile mbaya asee. Kila siku hamna hesabu.

Kabla ya yote hakikisha umepata dereva mzuri
 
Ukipata dereva mbaya huwa ni pasua kichwa ile mbaya asee. Kila siku hamna hesabu.

Kabla ya yote hakikisha umepata dereva mzuri
Asante mkuu ktk hilo pia ...ndio maana naiamin JF.

Sasa embu nisaidie ktk hayo juu niloomba mnielekeze .
 
kwa hela yako unahitaji pikpiki iliyokwisha tukika la kama ni mpya basi ni FEKON ambayo inauzwa 1.7-8 m ila ungekuwa na hela ya kutosha TVS inafaa bei ni 2m
 
kwa hela yako unahitaji pikpiki iliyokwisha tukika la kama ni mpya basi ni FEKON ambayo inauzwa 1.7-8 m ila ungekuwa na hela ya kutosha TVS inafaa bei ni 2m
Asante sana mkuuu , ila nje nahapo siwezi , hesabu inakataa kabisaa.
Iyo ya 1.7 yaaan bei huwa haipungui ??.
 
Hiyo biashara siku hiz imeharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuuu , ila nje nahapo siwezi , hesabu inakataa kabisaa.
Iyo ya 1.7 yaaan bei huwa haipungui ??.
hiyo 1.7 ndio being punguzo halafu hata mazingira ya biashara in rahisi kwa dereva kufanya kazi akiwa na TVs au boxer ndio maana nikakushauri kama unaweza chukua TVs ziko poa 2m full registration ukitoka hapo pikipki inaingia barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…