Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutumia ujumbe PMWadau habari zenu.
Ninataka kuanza biashara ya bodaboda ila kwa mkataba. mwenye ujuzi naomba msaada wa maelezo inavyokuwa tafadhali. nahitaji kujua dereva anapaswa alete kiasi gani cha fedha kwa wiki, na mkataba huwa wa muda gani? na service anafanya yeye kwa pesa zake au nafanya mimi mmiliki? Naomba kueleweshwa tafadhal. natanguliza Shukrani.
50 - 50 Mkuu.Wadau habari zenu.

Dah pole kwa kuishia njiani,kuna mbinu ulikosa za kuimanage .Hii biashara bwana bora uendeshe mwenyewe yaani ww ndio uwe dereva,vijana wanashida sana + mihemko basi tafrani tupu,labda umpate mwaminifu kwelikweli...mm ndani ya mwaka mmoja niliiuza tena kwa hasara sana,maana kijana wa kwanza kumkabidhi aiseee baada ya wiki mbili tu chombo kiko hoooi yaani mpaka roho iliniuma maana sikununua kwa mtu,.hapo bado hela huletewi kwa wakati nikaona isiwe tabu mwenyewe nikanyoosha mikono juu..