mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Ni sehemu ya kuaminika mkuu. Mwenyewe nimeshachukua.Ogopa sana, sehemu hizo.
[emoji117]Ni rahisi mtu kutumza chombo 1, au 2,3 ila sio 10 na kuendelea [emoji848]
Nitumie sasadah, inakua ngumu kuamini watu humu.... tumia PM 😅
yaani namaanisha ni sawa tu kuchat PM, au namba ina umuhimu sana??Nitumie sasa
Nope, SI niliona pale unasema unataka kunitumia video ya motivation 🤔.yaani namaanisha ni sawa tu kuchat PM, au namba ina umuhimu sana??
sio video ya motivation, ni expose' ya elon muskNope, SI niliona pale unasema unataka kunitumia video ya motivation 🤔.
👉 I mean no malice to nobody
Anha, kuhusu chanzo cha utajiri wake??, Au dark side yake??sio video ya motivation, ni expose' ya elon musk
ni ya youtube, naweza kukupatia link tu....
kuhusu uhalisia wake, kuna vitu vingi kwenye stori yake vimeondolewa au vimefichwaAnha, kuhusu chanzo cha utajiri wake??, Au dark side yake??
Mfano??, nitajie baadhi SI unajua Mb Ni ghali kwa sisi wachimba chumvikuhusu uhalisia wake, kuna vitu vingi kwenye stori yake vimeondolewa au vimefichwa
alilazimisha founders wa tesla kuondoka ili yeye achukue credit....Mfano??, nitajie baadhi SI unajua Mb Ni ghali kwa sisi wachimba chumvi
Mbona hiyo ni kawaida kwa makampuni makubwa, but that person ni next level 🔥🔥alilazimisha founders wa tesla kuondoka ili yeye achukue credit....
nimeskiaskia kuhusu shughuli zake za aiMbona hiyo ni kawaida kwa makampuni makubwa, but that person ni next level 🔥🔥
👉Unajua Ni founder wa AI ??
Alikuwa ni mmoja wa founder, yeye na CEO wa Sasa.nimeskiaskia kuhusu shughuli zake za ai
mambo ni mengi mkuu siwezi kumaliza hapa ukipata mda fuatilia..... hao corporate overlords sio watu wazuri....Alikuwa ni mmoja wa founder, yeye na CEO wa Sasa.
👉Walipishana kuhusu ai, kufanya majaribio Tesla.
👉Kuhusu kufukuza ili achukue credit, mbona hata jobs aliwahi fukuza watu Kutokana na kukwamisha mambo🤔
nimeskiaskia kuhusu shughuli zake za ai
Nimeona ma inveror Kama Martin eber hard alikuwa ceo enzi hizo. Guess Elon alinunua kampuni.mambo ni mengi mkuu siwezi kumaliza hapa ukipata mda fuatilia..... hao corporate overlords sio watu wazuri....
alifanya hostile takeover.... yaani alinunua share nyingi akawa majority shareholder afu akawa mkali kuwafukuza....Nimeona ma inveror Kama Martin eber hard alikuwa ceo enzi hizo. Guess Elon alinunua kampuni.
👉
Boxer au TVS?All ready bought by me, for 1.3m namba d
Nimeona, ila usisahau musk alitoka kuuza kampuni yake.alifanya hostile takeover.... yaani alinunua share nyingi akawa majority shareholder afu akawa mkali kuwafukuza....
Ili uje uniibie😂😂😂Boxer au TVS?
🤣🤣🤣 niambie tu ila usinitajie iko kijiwe ganiIli uje uniibie😂😂😂