Biashara ya Bodaboda

Biashara ya Bodaboda

Alikuwa ni mmoja wa founder, yeye na CEO wa Sasa.
👉Walipishana kuhusu ai, kufanya majaribio Tesla.
👉Kuhusu kufukuza ili achukue credit, mbona hata jobs aliwahi fukuza watu Kutokana na kukwamisha mambo🤔
mambo ni mengi mkuu siwezi kumaliza hapa ukipata mda fuatilia..... hao corporate overlords sio watu wazuri....
 
alifanya hostile takeover.... yaani alinunua share nyingi akawa majority shareholder afu akawa mkali kuwafukuza....
Nimeona, ila usisahau musk alitoka kuuza kampuni yake.
👉Na wao walihitaji muwekezaji, company ilianzishwa 2003-2008- alipoamua musk kuongoza.💪
👉Wao walikuwa na wazo ila walishindwa kuendelea. Na ndo Mana walimuuzia. Wakahamia utengenezaji wa even batteries
 
Back
Top Bottom