Biashara ya Bodaboda

Mkuu nimeipenda hii
Nilikuwa
 
Safi sana
 
Hiyo sehemu ya kuwekeza nzuri unayoifahamu ambayo unaweza wekeza 50k na kupata zaidi ya laki moja kwa mwezi ni ipi?, iweke bayana hapa Leo tuijue
 
Hebu share biashara yenye kuleta Faida zaidi y 100k kwa mtaji wa 2.3mil.
 
akipata ajali akapoteza maisha boda boda ikaharibika ni hasara ilioje, na hujasema ikiibiwa hasara na kijana akauliwa!? au hujafikiria hilo mkuu
 
Hiyo sehemu ya kuwekeza nzuri unayoifahamu ambayo unaweza wekeza 50k na kupata zaidi ya laki moja kwa mwezi ni ipi?, iweke bayana hapa Leo tuijue
Kwa haraka haraka biashara ya chipsi ukipata sehemu nzuri kupata 20,000 kwa siku kama net profit ni kawaida
 
Kwa haraka haraka biashara ya chipsi ukipata sehemu nzuri kupata 20,000 kwa siku kama net profit ni kawaida
Tatizo una imagination nyingi sana iyo ni shida yako, mi nahitaji useme hiyo sehemu nzuri na evidence piah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…