Biashara ya bonanza, dubwi

Nitajie jina la kampuni yenu nikuambie % ya Kila mwezi anayolipa kampuni
Cwezi reveal io information maana Mimi pekee kwenye kampuni nzima, nahusika kweny mahesabu, kibarua kitaota nyasi bure 😂

Hlf cjafaidi mshahara bado
 
Cwezi reveal io information maana Mimi pekee kwenye kampuni nzima, nahusika kweny mahesabu, kibarua kitaota nyasi bure [emoji23]

Hlf cjafaidi mshahara bado
Aaahh mdogo angu hakuna information kama hyo inaweza kukupata tanzania nzima huwez kuwa mpga hesabu pekeako alafu kampuni inawatu wengi sana na mikoa tofauti wewe huko kwenye tawi tu la mkoa flan so huwez harbu kazi Kwa kusema company name
 
Subiri siku nikiacha kazi, ntagawa information zote ,ikiwemo jina la kampuni

Lkn kwa sasa bado sijafikia malengo yangu, angalau ata kwa mwezi mshahara ufike million 1 ndo malengo yatafika haraka, bado Sana aisee, mupoe tu.
 
Ok sawa usisahau kuiba li moja ukipata nafasi ntakua nakutolea lock likilock
 
Unachosema cha kweli mwanangu sasa kwanini jamaa asiendelee kufanya ivo si anakuwa amekula?
 
Kweli kabisa.
 
Wanaweza ingiza milioni 20 kweli maana watu wanatembelea harrier, kluger tena mpya.
 
Wanaweza ingiza milioni 20 kweli maana watu wanatembelea harrier, kluger tena mpya.
Io ela ndogo Sana kwao, boss wangu anatembea na million 2 kwa ajili ya matumizi ya Kila siku tu, yani km ww ulivokuwa na bajeti ya kutumia kwa siku 6,000 yeye ndo ela ambayo anatembea nayo kwa matumizi ya cku moja ,pisi za kibongo kupewa laki mbili kugongwa apo apo ni swala la kawaida Sana kwake
 
Umejua kinachotufelisha umepata solution gani?
 
Kubaabeki shikamoo mchina.
 
Kwasasa imeanza kusuasua watu hawayachezi Kama mwanzoni
Sio kweli na ndugu zangu wawili wanafanya izo kazi mmoja kwa mwezi anakusanya million45,mwingine. Million 70 changamoto ni change tu kuwa hadimu lkn bado haiwafanyi kukosa hela kwa mwezi
 
Dpk akuna mchina anaepgiwa hesabu labda ww useme Huwa mnatembea wa3 kwenye gari ww unapanga token na kutafuta site na kusolve misala ikitokea lkn hawawez kukuajr et Kaz Yako kupanga token tu NEVER
Mchina hapotezi hela kindezi bro mm ndugu zangu wenyewe ndiyo madereva na ndiyo watafuta site na ndiyo wasambaza change 😂 huyo muhesabu token hatuache kidogo
 
Sio kweli na ndugu zangu wawili wanafanya izo kazi mmoja kwa mwezi anakusanya million45,mwingine. Million 70 changamoto ni change tu kuwa hadimu lkn bado haiwafanyi kukosa hela kwa mwezi
Nimekuja kukugundua watanzania wanajifanyaga wajuaji ata kwa kitu ambacho hawajui, ucpoteze pumzi yako, ndo maana nchi yetu wachina na wazungu wanakuja kujizolea ela za bure tu humu na hawaangaiki kuelimisha mtu, watakuajili watakulipa ata laki TATU mpk million moja, uku wenyewe wanaingiza mamillion ya ela na ww utaridhika, elimu ndio utajiri, wenzetu kule mtu akiwa na business plan wanakuja investors kuwekeza lkn uku bongo ukitoa business plan watakuja wakosoaji. Wachina wanaoongezeka Tz sio wote wanakuja na mitaji yao,wanatafuta investors lkn kwa bongo huu mkakati ni kazi bure tu ,ata mimi lengo langu kutoa information km io, nilitegemea kuna watu watanufaika lkn mmeambiwa cjui kitu, nkaona it's pointless kuelimisha Watz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…