Biashara ya bonanza, dubwi

Biashara ya bonanza, dubwi

Nitajie jina la kampuni yenu nikuambie % ya Kila mwezi anayolipa kampuni
Cwezi reveal io information maana Mimi pekee kwenye kampuni nzima, nahusika kweny mahesabu, kibarua kitaota nyasi bure 😂

Hlf cjafaidi mshahara bado
 
Cwezi reveal io information maana Mimi pekee kwenye kampuni nzima, nahusika kweny mahesabu, kibarua kitaota nyasi bure [emoji23]

Hlf cjafaidi mshahara bado
Aaahh mdogo angu hakuna information kama hyo inaweza kukupata tanzania nzima huwez kuwa mpga hesabu pekeako alafu kampuni inawatu wengi sana na mikoa tofauti wewe huko kwenye tawi tu la mkoa flan so huwez harbu kazi Kwa kusema company name
 
Subiri siku nikiacha kazi, ntagawa information zote ,ikiwemo jina la kampuni

Lkn kwa sasa bado sijafikia malengo yangu, angalau ata kwa mwezi mshahara ufike million 1 ndo malengo yatafika haraka, bado Sana aisee, mupoe tu.
 
Ok sawa usisahau kuiba li moja ukipata nafasi ntakua nakutolea lock likilock
 
Sijui kwa nini naichukia hii biashara,
Nilikuwa maeneo flani na kijana mdogo ni driver mchaga, aliongea na msimazi wa hilo dude wakaelewana na driver kachukua sarafu ya Tsh. 200 kaitoboa pembeni tundu dogo kapitisha uzi huu wa kushonea viatu.

Eeh bana misarafu ilimwagika tukaa kupanga Tsh 2.000/- mbili karudia tena kuingiza ile sarafu huku kashikilia kile kikamba zilimininika, hadi msimamizi kaomba po! Kuja kuhesabu zote jumla Tsh 9.200/-
Kamgawia msimamazi tukaondoka

Nilichogundua wateja wote wa yale mabonza ni WAJINGA ile sio kazi na mchina anapiga hela kupitia ujinga wa wateja wanaocheza ule mchezo!

lle midude ingekuwa ni kwa uwezo wangu ningeipiga MARUFUKU TANZANIA ISIONEKANE!
Unachosema cha kweli mwanangu sasa kwanini jamaa asiendelee kufanya ivo si anakuwa amekula?
 
Sijui kwa nini naichukia hii biashara,
Nilikuwa maeneo flani na kijana mdogo ni driver mchaga, aliongea na msimazi wa hilo dude wakaelewana na driver kachukua sarafu ya Tsh. 200 kaitoboa pembeni tundu dogo kapitisha uzi huu wa kushonea viatu.

Eeh bana misarafu ilimwagika tukaa kupanga Tsh 2.000/- mbili karudia tena kuingiza ile sarafu huku kashikilia kile kikamba zilimininika, hadi msimamizi kaomba po! Kuja kuhesabu zote jumla Tsh 9.200/-
Kamgawia msimamazi tukaondoka

Nilichogundua wateja wote wa yale mabonza ni WAJINGA ile sio kazi na mchina anapiga hela kupitia ujinga wa wateja wanaocheza ule mchezo!

lle midude ingekuwa ni kwa uwezo wangu ningeipiga MARUFUKU TANZANIA ISIONEKANE!
Kweli kabisa.
 
Wanaweza ingiza milioni 20 kweli maana watu wanatembelea harrier, kluger tena mpya.
 
Wanaweza ingiza milioni 20 kweli maana watu wanatembelea harrier, kluger tena mpya.
Io ela ndogo Sana kwao, boss wangu anatembea na million 2 kwa ajili ya matumizi ya Kila siku tu, yani km ww ulivokuwa na bajeti ya kutumia kwa siku 6,000 yeye ndo ela ambayo anatembea nayo kwa matumizi ya cku moja ,pisi za kibongo kupewa laki mbili kugongwa apo apo ni swala la kawaida Sana kwake
 
Nimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara

Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania

Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na kutengeneza endapo ikiharibika ndo maana watanzania wanashindwa Fanya hii biashara

Kwa mtaji wa million 300
Una uhakika wa kila mwezi kuingiza million 60 km profit, ambapo ela yako ya mtaji itarudi baada ya miezi mitano tu.

Kwaio km mko watu watatu au wanne mmeingia kweny hii biashara ujue roughly unaingiza mil 20 profit kila mwezi

Nikiingia kiundani zaidi inabidi uwe na vibali, kampuni yako uisajili, utengeneze brand yako na Mashine ukanunue China na uzilete Tanzania, changamoto ya hii biashara inahitaji rushwa nyingi Sana Mpk kuja kufungua hii biashara, maana viongozi wetu wanaogawa vibali bila rushwa hupati kibali ,utazungushwa mpk ukome.

Ili mradi kuendesha hii biashara unahitaji gari kwa ajili ya kupeleka Mashine site

PIKIPIKI kwa ajili ya wafanyakazi kuwa wanapitia izi MASHINE

Na viongozi kuwa wanasimamia na kutoa muongozo kwa wafanyakazi

Inabidi ununue Silver (Coins) tsh 200 uzitunze kwa ajili ya mtaji wa Mashine

Nimekuja kujua kuwa kinachotufelisha watanzania ni mtaji tu.
Umejua kinachotufelisha umepata solution gani?
 
Io ela ndogo Sana kwao, boss wangu anatembea na million 2 kwa ajili ya matumizi ya Kila siku tu, yani km ww ulivokuwa na bajeti ya kutumia kwa siku 6,000 yeye ndo ela ambayo anatembea nayo kwa matumizi ya cku moja ,pisi za kibongo kupewa laki mbili kugongwa apo apo ni swala la kawaida Sana kwake
Kubaabeki shikamoo mchina.
 
Kwasasa imeanza kusuasua watu hawayachezi Kama mwanzoni
Sio kweli na ndugu zangu wawili wanafanya izo kazi mmoja kwa mwezi anakusanya million45,mwingine. Million 70 changamoto ni change tu kuwa hadimu lkn bado haiwafanyi kukosa hela kwa mwezi
 
Dpk akuna mchina anaepgiwa hesabu labda ww useme Huwa mnatembea wa3 kwenye gari ww unapanga token na kutafuta site na kusolve misala ikitokea lkn hawawez kukuajr et Kaz Yako kupanga token tu NEVER
Mchina hapotezi hela kindezi bro mm ndugu zangu wenyewe ndiyo madereva na ndiyo watafuta site na ndiyo wasambaza change 😂 huyo muhesabu token hatuache kidogo
 
Sio kweli na ndugu zangu wawili wanafanya izo kazi mmoja kwa mwezi anakusanya million45,mwingine. Million 70 changamoto ni change tu kuwa hadimu lkn bado haiwafanyi kukosa hela kwa mwezi
Nimekuja kukugundua watanzania wanajifanyaga wajuaji ata kwa kitu ambacho hawajui, ucpoteze pumzi yako, ndo maana nchi yetu wachina na wazungu wanakuja kujizolea ela za bure tu humu na hawaangaiki kuelimisha mtu, watakuajili watakulipa ata laki TATU mpk million moja, uku wenyewe wanaingiza mamillion ya ela na ww utaridhika, elimu ndio utajiri, wenzetu kule mtu akiwa na business plan wanakuja investors kuwekeza lkn uku bongo ukitoa business plan watakuja wakosoaji. Wachina wanaoongezeka Tz sio wote wanakuja na mitaji yao,wanatafuta investors lkn kwa bongo huu mkakati ni kazi bure tu ,ata mimi lengo langu kutoa information km io, nilitegemea kuna watu watanufaika lkn mmeambiwa cjui kitu, nkaona it's pointless kuelimisha Watz.
 
Back
Top Bottom