Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hujui unachokisema mkuu. Achana na kumaliza mzigo... Wewe unaona Kwa macho tu! Mm nimefanya hiyo biashara. Usiione vile ukaona Kuna Cha maaana saaaana mule. Ile biashara inataka ujanja ujanja wake uwe unaujua. Unaweza kuanza Moja mpaka ikaisha hiyo MILIONI 4 yoote na wewe mwenyew ukapoteleamo humo Kwa stressWapo wanamaliza mzigo asubuhi pale karume biashara ni Siri
Hahaha..Kidimbwi biashara ya Moja moto Moja baridi au😄😄
Ndio Ila huyo ni wewe Kuna wenzio wametoboa kwa biashara hio hio, NI sawa uiponde biashara ya kuuza maji kwenye chupa 500-20,000 wakati wenzio wanatoboa kwa hio biashara wewe unaniponda unasema utaanza upya Maisha yanasonga uoga wako ndio umasikini wakoHujui unachokisema mkuu. Achana na kumaliza mzigo... Wewe unaona Kwa macho tu! Mm nimefanya hiyo biashara. Usiione vile ukaona Kuna Cha maaana saaaana mule. Ile biashara inataka ujanja ujanja wake uwe unaujua. Unaweza kuanza Moja mpaka ikaisha hiyo MILIONI 4 yoote na wewe mwenyew ukapoteleamo humo Kwa stress
Wewe jamaa TOA USHAURI ACHA KUONGEA USIVYOVIJUA. Hiyo biashara mm naijua na mjomba angu ndo biashara yake hiyo amejenga na anamiliki viwanja. Huwez kuniambia chochote kuhusu mitumba. Mm mwenyew naweza kutoboa huko vilevile. So usidhani najaribu kuongea tu... Nazungumza Kwa ninachokijua. TOA USHAURI usihamasishe watu ujingaNdio Ila huyo ni wewe Kuna wenzio wametoboa kwa biashara hio hio, NI sawa uiponde biashara ya kuuza maji kwenye chupa 500-20,000 wakati wenzio wanatoboa kwa hio biashara wewe unaniponda unasema utaanza upya Maisha yanasonga uoga wako ndio umasikini wako
Kumbe JIBU unalo umesema amefanyeje ? Kwa kupitia biashara gani ? Kwanini unamzuia huyu asiifanye ? Waafrika sio watu kweli au kwa kua nimetoboa Siri ?na mjomba angu ndo biashara yake hiyo amejenga na anamiliki viwanja.
Au bhas kauze mitumba mbeyaView attachment 2630331
CV ipi ? Kazi ipi ? Una uwezo upi ?
😃😃😃 Mkuu jiangalieAu bhas kauze mitumba mbeya
Msimsikilize huyu jamaa. Huko mitumbani mtachelewa mnooo. Tuendelee kushea skills... Huyu Hana jipya hapa. Huwez kutumia MILIONI 4 mzima sokoni kwenye biashara za kijinga kama zileKumbe JIBU unalo umesema amefanyeje ? Kwa kupitia biashara gani ? Kwanini unamzuia huyu asiifanye ? Waafrika sio watu kweli au kwa kua nimetoboa Siri ?
Mimi kwa taarifa yako nilikua nashuhudia Mbeya jamàa wanavyopush mzigo kabla sijaingia Dar saa 1 asubuhi watu wanafunga mahesabu biashara unaanza saa 10 usiku, shtuka au nimwage mafaili yote hapa acha kuzibia wenzio riziki km ulishindwa wewe ni wewe maana hata ushihidi umetoa mwenyewe mjomba wako katoboa kwa biashara hio hio unayoiponda
Nishasikilizwa Fred Vunjabei & Frank Knows akili kumbichwaMsimsikilize huyu jamaa. Huko mitumbani mtachelewa mnooo. Tuendelee kushea skills... Huyu Hana jipya hapa. Huwez kutumia MILIONI 4 mzima sokoni kwenye biashara za kijinga kama zile
Bhas nakutumia CV mm unipe michongoNishasikilizwa Fred Vunjabei & Frank Knows akili kumbichwa
Karibu PM ipo waziBhas nakutumia CV mm unipe michongo
Hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?Vijana Tena!!nahitaji biashara ya Ambayo utanunua mzigo na kuuza wote Kwa jumla Kisha unatoa faida sio baishara za kuzungusha mtaani wiki/mwezi
Maviiii ya mbuziTafuta odds 10 Weka Milion nne nichapu jioni una milioni 40
Siunataka faida ya chapuchapuMaviiii ya mbuzi