Thank you my dearest! Ushauri wako ni wa maana sana! Na nitafanya hvyo!
Fanya hivi...
Tenga siku 2 ambazo utakua free, shinda kijiweni vijana wanapiga kazi we unakusanya pesa, then calculate the average earnings, kuanzia hapo utajua nini kinatakiwa kipatikane kwa siku, (jisemeshe kwa sauti kijana asikie- ah hii biashara nzuri sana, yani kila siku ntakua naingiza say 40'000)
Mwache kijana apige kazi, kamwe hawezi kukuibia..
