Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Hi! Guys mm ni kijana mwenye umri wa miaka 19 m/mungu ameniwezesha kupata kiac cha fedha sh 9450000 ili niweze kufungua biashara.
Je nauliza kwa wenye kujua biashara ya chips inalipa?? Na je inahitaji kiac gni kufungua biashara hyo?

Na je nkifungua pub italipa?? Naombeni ushauri wenu please
 
Duh hiyo hela uliyo nayo si ya kuwazia kufungua / kuuza chips bwana heee
 
pesa nyingi sana iyo kama uliweza kuimiliki ni aibu kubwa kushindwa kuiwekeza chips ni mtaji wa laki 3.
 
Mkuu ni sawa sawa ukiuliza kama kufungua biashara ya kitimoto inalipa bila kufahamu upo wapi.., sababu kama ukisema upo Zanzibar penye wengi wasiokula hii nyama basi haitalipa.., au kama unauza barafu kwa Eskimos huenda usipate kitu ila kama upo Jangwani basi italipa.. Its All About LOCATION.., Kwa mtaji huo kwa Chips peke yake huenda ukawa ni mbubwa sana ila kwa PUB itategemea unataka kufanya nini...

Mara nyingi mwenye PUB sio mwenye Kuuza Chakula au Chips yaani anakodisha mtu anampa jiko ili awe anapika na kumlipa rent kwa mwezi au kutokana na makubaliano.

Ila unaweza labda ukawa na chains za chips yaani kwenye bar mbalimbali unakuwa na jiko ila hapo na usimamizi utakuwa mgumu.., ila ninamjua mtu yupo location nzuri yaani anatengeneza chips kwa siku anamaliza hata gunia kama sio magunia ya viazi
 
Hahahaa kama unapenda kulakula usifungue biashara ya chipsi (UTAKULA MTAJI) na pia kama ni mlevi usifungue pub utakunywa mtaji wote.... CHA MAANA NIKOPESHE TAKULIPA RIBA KILA MWISHO WA WIKI.
 
Una m9 unawaza biashara ya chips!!!?

Ila angewekeza Mzungu kwa hela hiyo tungemwona mjanja, yule jamaa wa Ice cream anauza mji mzima ana mtaji sh ngapi? Mkuu hata hiyo 9m yaweza kuwa ndogo, huenda jamaa anataka kufungua cafe yenye chips za kiwango !!!!
 
Labda, kama wana ndoto za KFC/McDonard utafungua kwa m9 !!? itakuwa ni ndoto za mchana.
 
Anaweza kuanzisha biashara ya chpsi inyolingana na mfuko wake. Kati ya yule anayeuza chipsi mayai na KFC/McDonald kuna michanganuo mmingi sana ya biashara ya chipsi.
 
Mkuu KFC is work billions of dollar na wanauza chips hizohizo

Labda, kama wana ndoto za KFC/McDonard utafungua kwa m9 !!? itakuwa ni ndoto za mchana.

Anaweza kuanzisha biashara ya chpsi inyolingana na mfuko wake. Kati ya yule anayeuza chipsi mayai na KFC/McDonald kuna michanganuo mmingi sana ya biashara ya chipsi.

Ingawa technically mpo sahihi.., lakini biashara main ya kina McDonalds sio kuuza chips/products bali ni kuuza franchise, yaani wenyewe wameshatengeneza product na wanafanya promotions and marketing mtu yoyote anayetaka kutumia jina lao na kuuza products kulingana na sheria zao basi anaweza akafanya hivyo kwa kuwalipa fee fulani, hence its more than just food business.

Although mdau hakatazwi kuwa na chains za chips mayai Dar au Tanzania nzima na akavisimamia kwa 100%, ingawa kwa kuvi-rent hivyo vibanda kwa watu atakuwa amefanya leverage ya kuwafanya watu wengine wafanye kazi kwa faida yake
 
Ni kweli kabisa kuwa biashara za vyakula zilizosambaa duniani ni franchises. Hata yeye kama ulivyosema anaweza kufikia hapo lakini baada ya kitambo kirefu sana. Kwanza inabidi aanzishe biashara yake mwenyewe na aiboreshe kiasi cha kuwavutia wateja wengi wa mji au mitaa fulani. Polepole aipanue na baadaye aiwekee benchmark ya ubora na ndipo aanzishe franchise.
 
Tena sababu chips mayai haijasambaa sana nje kama Bongo jamaa anaweza akabuni logo nzuri na ku-market hii Chips Mayai huko nje kwanza kwa kuongezea na misosi ya kibongo bongo, chips mishikaki na ukwaju na kachumbari n.k.

Ikishapeak huko na kuwa famous nadhani watu wanaweza wakaomba franchise ila itabidi aongee value kwa sana isiwe chips pekee labda hadi aweke na juice za kibongo bongo na kwenye breakfast atoe hadi menu za vitumbua (yaani iwe some african experience)
 
Ingawa technically mpo sahihi.., lakini biashara main ya kina McDonalds sio kuuza chips/products bali ni kuuza franchise, yaani wenyewe wameshatengeneza product na wanafanya promotions and marketing mtu yoyote anayetaka kutumia jina lao na kuuza products kulingana na sheria zao basi anaweza akafanya hivyo kwa kuwalipa fee fulani, hence its more than just food business.

Although mdau hakatazwi kuwa na chains za chips mayai Dar au Tanzania nzima na akavisimamia kwa 100%, ingawa kwa kuvi-rent hivyo vibanda kwa watu atakuwa amefanya leverage ya kuwafanya watu wengine wafanye kazi kwa faida yake

umeongea kama msomi...Big up brother. Kuna watu vichwa maji sana humu JF.
 
Kijana kwanz umefanya vizuri kuomba ushauri, achana na watu wenye mawazo mgando, mimi ninauzoefu kiasi flan juu ya biashara ya chips. Biashara ya chips inaweza ikakulipa sana tu bt katika mazingira ya fuatayo mbali na mtaji.1: LOCATION: hiki ni kitu cha msingi sana unaweza kuwa na mtaji wa kutosha bt ukikosea location inakula kwako-tafuta hasa eneo ambalo lina traffic ya watu au sehem za biasha na maofisi: 2 Usimamizi wa karibu-usimamie wew mwenyewe au mtu wako wa karibu sana la sivo vijana watakuliza, kuwa makin kutafuta vijana wa kukusaidia kazi zingatia hasa uaminifu: 3:good customer care na ubunifu kwenye biashara: ukizingatia haya biashara hii inaweza kukulipa net profit ya laki mbili kwa siku :NB itatemeana na eneo utakalotafuta bt m3 inatosha sana
 
Wazo lako ni zuri lakini kwa mtaji ulionao una uwezo wa kuanzisha biashara nzuri na yenye kulipa zaidi ya hiyo...Mimi ni mshauri wa biashara toka CPM business consultant...Kama upo serious na ulichokiandika nicheki kwa 0655040772,Nikufumbue macho.
 
Back
Top Bottom