Una m9 unawaza biashara ya chips!!!?
Teheeee.. Looks funny, but ana uwezo wa kupata laki mbili kwa siku as profit...ask me how..!!!!
Una m9 unawaza biashara ya chips!!!?
Mkuu KFC is work billions of dollar na wanauza chips hizohizo
Una m9 unawaza biashara ya chips!!!?
Ila angewekeza Mzungu kwa hela hiyo tungemwona mjanja, yule jamaa wa Ice cream anauza mji mzima ana mtaji sh ngapi? Mkuu hata hiyo 9m yaweza kuwa ndogo, huenda jamaa anataka kufungua cafe yenye chips za kiwango !!!!
Labda, kama wana ndoto za KFC/McDonard utafungua kwa m9 !!? itakuwa ni ndoto za mchana.
Mkuu KFC is work billions of dollar na wanauza chips hizohizo
Labda, kama wana ndoto za KFC/McDonard utafungua kwa m9 !!? itakuwa ni ndoto za mchana.
Anaweza kuanzisha biashara ya chpsi inyolingana na mfuko wake. Kati ya yule anayeuza chipsi mayai na KFC/McDonald kuna michanganuo mmingi sana ya biashara ya chipsi.
Ingawa technically mpo sahihi.., lakini biashara main ya kina McDonalds sio kuuza chips/products bali ni kuuza franchise, yaani wenyewe wameshatengeneza product na wanafanya promotions and marketing mtu yoyote anayetaka kutumia jina lao na kuuza products kulingana na sheria zao basi anaweza akafanya hivyo kwa kuwalipa fee fulani, hence its more than just food business.
Although mdau hakatazwi kuwa na chains za chips mayai Dar au Tanzania nzima na akavisimamia kwa 100%, ingawa kwa kuvi-rent hivyo vibanda kwa watu atakuwa amefanya leverage ya kuwafanya watu wengine wafanye kazi kwa faida yake
Tena sababu chips mayai haijasambaa sana nje kama Bongo jamaa anaweza akabuni logo nzuri na ku-market hii Chips Mayai huko nje kwanza kwa kuongezea na misosi ya kibongo bongo, chips mishikaki na ukwaju na kachumbari n.k.Ni kweli kabisa kuwa biashara za vyakula zilizosambaa duniani ni franchises. Hata yeye kama ulivyosema anaweza kufikia hapo lakini baada ya kitambo kirefu sana. Kwanza inabidi aanzishe biashara yake mwenyewe na aiboreshe kiasi cha kuwavutia wateja wengi wa mji au mitaa fulani. Polepole aipanue na baadaye aiwekee benchmark ya ubora na ndipo aanzishe franchise.