Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Mkuu new generation..vp ulifanikiwa kuanza biz? Nipe updates mkuu nami nimeiona fursa..nami nideclare interest nami pia ni graduate km ww
 
Mkuu Ishu Ya Chips Inalipa Sana Ukiwa Na Kiasi Kizuri. Sis Hapa Mabibo Hostel Waga Tunafunga Safari Ya Zaidi Ya Dakika 20 Kwenda Kwa Mtu Mmoja Anakiasi Kizuri. Kule Udom Wanaendaga Kwa Mama Mjasi Mwendo Wa Zaidi Ya Nusu Saa Wana Angalia Kiasi. Tena Huko Tunakoenda Kunaforeni Nduguuuu! Kwa Ujumla Usitake Faida Kubwa Taka Faida! Wengi Sasa Wanapunja Saana Na Kutaka Faida Ya Kutisha Matokeo Yake Tunawakimbia! Angalia Mahali Ambapo Viazi Vinauzwa Kwa Beinzuri, Nasikia Vya Njombe Ni Vizuri Sana
 
mkuu ishu ya chips inalipa sana ukiwa na kiasi kizuri. Sis hapa mabibo hostel waga tunafunga safari ya zaidi ya dakika 20 kwenda kwa mtu mmoja anakiasi kizuri. Kule udom wanaendaga kwa mama mjasi mwendo wa zaidi ya nusu saa wana angalia kiasi. Tena huko tunakoenda kunaforeni nduguuuu! Kwa ujumla usitake faida kubwa taka faida! Wengi sasa wanapunja saana na kutaka faida ya kutisha matokeo yake tunawakimbia! Angalia mahali ambapo viazi vinauzwa kwa beinzuri, nasikia vya njombe ni vizuri sana

nimekusoma mtwa mkulu..
 
Habari ndugu wana jamii forum,naomben msaada wa mawazo yenu juu ya kuendesha biashara ya chips na kuhakikisha kila mwisho wa siku unao mchanganuo mzuri wa faida na hasara
 
Nakushauri nenda pale namnga kwa eddo chips atakupa ushauri mzuri sana. Jamaa yupo kwenye game ya kuuza viepe kitambo sana na yupo poa sana wala sio mbinafsi.
 
Nakushauri nenda pale namnga kwa eddo chips atakupa ushauri mzuri sana. Jamaa yupo kwenye game ya kuuza viepe kitambo sana na yupo poa sana wala sio mbinafsi.

Asante sana mkuu bt ni namanga ya msasani?
 
Kama kawaida ya jukwaa letu kushauriana na kuelimishana, hatimaye nimefanikiwa kuanzisha biashara ya chips ila tatizo nakuwa busy mpaka saa 12 jioni, je nifanyeje ili niweze kuweka strong internal control ili kuthibiti kuibiwa? Asanteni!
 
Mpe hesabu(fixed) ambayo kila siku inabidi akukabidhi itakayoongezeka iwe ya kwake vinginevyo labda ufunge efd na cctv kwenye brain yake
 
Fanya hivi...
Tenga siku 2 ambazo utakua free, shinda kijiweni vijana wanapiga kazi we unakusanya pesa, then calculate the average earnings, kuanzia hapo utajua nini kinatakiwa kipatikane kwa siku, (jisemeshe kwa sauti kijana asikie- ah hii biashara nzuri sana, yani kila siku ntakua naingiza say 40'000)
Mwache kijana apige kazi, kamwe hawezi kukuibia..
 
Na kama.ni mfanyakazi achukue likizo hata ya wiki.

Asimamie mauzo na kusoma biashara. Inakwendahe. Nini kinatoka sana nini aboreshe nk

Then mpe anweza mpa limit au amweleze bila kiasi kadhaa hatomwelewa
 
Back
Top Bottom