Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Alishawahi kufanya biashara ya gari ???Hivi biashara ya Coaster Special hire inaweza ingiza 400k hadi 600k kwa uhakika kabisa..??
Tzs200x500 people = Tzs100000/day... Huduma ya choo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishawahi kufanya biashara ya gari ???Hivi biashara ya Coaster Special hire inaweza ingiza 400k hadi 600k kwa uhakika kabisa..??
Tzs200x500 people = Tzs100000/day... Huduma ya choo
Mtu unayejiingiza kwenye magari uwe bado na nguvu za kukimbizana na madereva na Mafundi, pia uwe na uwezo wa kuhimili Presha na mikikimikiki... Madereva hawachelewi kuuza Injini, ukawekewa Mbovu.. Au mkizinguana akalitupa Korongoni, ili tu akukomoe.. Gari iko Mbeya wewe uko Musoma unaambiwa amekamatwa na Latra, mara Uhamiaji, mara Trafiki, mara Gari haipigi Stata..Mbona coaster mnaisagia sana kunguni alafu hapa mjini zipo kama zote
Hili ndip wazo bora kabisaaaHivi guest vyumba kumi inaweza gharimu kiasi gani
hicho choo unapojenga eneo ni lako? na nazani ni prime locationHivi biashara ya Coaster Special hire inaweza ingiza 400k hadi 600k kwa uhakika kabisa..??
Tzs200x500 people = Tzs100000/day... Huduma ya choo
kweli kabisa ,hizo hela aweke UTT awe anaingiza faida kidogo ,zingine ndio afanye biashara nyepesi nyepesi tu .Mtu unayejiingiza kwenye magari uwe bado na nguvu za kukimbizana na madereva na Mafundi, pia uwe na uwezo wa kuhimili Presha na mikikimikiki... Madereva hawachelewi kuuza Injini, ukawekewa Mbovu.. Au mkizinguana akalitupa Korongoni, ili tu akukomoe.. Gari iko Mbeya wewe uko Musoma unaambiwa amekamatwa na Latra, mara Uhamiaji, mara Trafiki, mara Gari haipigi Stata..
Sasa Mstaafu, pesa ya ngama na biashara hujawahi ifanya aisee utashangaa unakufa kabla ya Muda na Malaika Mtoa roho akukatae muda wako bado.. Mbinguni haupo, duniani haupo!!
Kwani kulikuwa na ulazima wa kumtaja jina na hayo maelezo yote ya kujiweka open, huoni kama anonymity yako inapotea. Au kwako hilo sio shida? It's just a thought though.Wadau salama, CCM hoyee.
Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo.
Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma.
Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti tofauti.
Ila watoto wake wakubwa tu wamemshauri anunue Costa mayai 2 azipige special Hire at least kwa siku awe ana uhakika wa laki 4 mpaka 6.
Je, wana uchumi mawazo yenu ni yapi ? Tujengane maana naamini kwamba hata hapa JF wapo pia wastaafu au wanaokaribia kustaafu. Watapata mawazo pia.
Kwangu mimi, Ningemshauri biashara ya choo, maana nina mshikaji wangu yuko buguruni yeye ana matundu manne, kwa macho yangu jamaa anafunga elfu 50+ kwa siku.
Nawasilisha.
.
Huyo mzee atakufa vibaya sana, madereva watamnyoosha 🤣🤣Mbona coaster mnaisagia sana kunguni alafu hapa mjini zipo kama zote
...Anfunga 50 Kwa Siku ? Vyema, baada ya Kufungua 50, gharama za Usaishaji Vyoo ? Gharama ya Maji ??...Wadau salama, CCM hoyee.
Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo.
Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma.
Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti tofauti.
Ila watoto wake wakubwa tu wamemshauri anunue Costa mayai 2 azipige special Hire at least kwa siku awe ana uhakika wa laki 4 mpaka 6.
Je, wana uchumi mawazo yenu ni yapi ? Tujengane maana naamini kwamba hata hapa JF wapo pia wastaafu au wanaokaribia kustaafu. Watapata mawazo pia.
Kwangu mimi, Ningemshauri biashara ya choo, maana nina mshikaji wangu yuko buguruni yeye ana matundu manne, kwa macho yangu jamaa anafunga elfu 50+ kwa siku.
Nawasilisha.
.
😂😂😂😂😂😂 Baiskeli ya barafu hio.Hizi biashara za kuaza kufanya baada ya ku-staafu, ni sawa na kupanda baiskeli ya udongo kipindi cha mvua.. 🥴🥴🥴
😁 Watu wanapendaga kusikia tu anafunga kiasi fulani! Je, gharama ambazo ziko associated umezizingatia. Au unafikiria ukishaanzisha biashara unaenda kuchuma tu....Anfunga 50 Kwa Siku ? Vyema, baada ya Kufungua 50, gharama za Usaishaji Vyoo ? Gharama ya Maji ??...
Ailete tu deposit Forex. Kwa mtaji wa $50,000 kupata 5% ya hela ni uhakika kila siku. Tuta deal na volatility indices ambazo haziathiriwi na News. Daily soko lipo.Wadau salama, CCM hoyee.
Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo.
Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma.
Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti tofauti.
Ila watoto wake wakubwa tu wamemshauri anunue Costa mayai 2 azipige special Hire at least kwa siku awe ana uhakika wa laki 4 mpaka 6.
Je, wana uchumi mawazo yenu ni yapi ? Tujengane maana naamini kwamba hata hapa JF wapo pia wastaafu au wanaokaribia kustaafu. Watapata mawazo pia.
Kwangu mimi, Ningemshauri biashara ya choo, maana nina mshikaji wangu yuko buguruni yeye ana matundu manne, kwa macho yangu jamaa anafunga elfu 50+ kwa siku.
Nawasilisha.
.
Wadau salama, CCM hoyee.

Aweke biashara ya choo, akiona anaibiwa abakuwa anashinda mwenyewe kukusanya mapato, vijana kazi hao kufanya usafi. Biashara ya coaster hao vijana wanataka wamuue mzee wao kwa presha mana watakuwa wanampelekea hesabu kidogo na visingizio kibao mara gari limeharibika hiki na kile, faini kukamatwa nkWadau salama, CCM hoyee.