Biashara ya choo baada ya kustaafu utumishi wa umma

Biashara ya choo baada ya kustaafu utumishi wa umma

Mtu hana experience ya biashara kasimuliwa huko biashara za makaratasi akaona aje afanyie experience kwwnye pesa ya pension ...watamuwahisha mzee wa watu akhera kwa pressure na mawazo .Biashara zinaupside down kibao na huwa hazisemwi na mchambuzi wa biashara yanaongelewaga mazuri tu ..kwa mtu ambae hakuwahi kufany biashara ujana wake wote aje ajaribie uzeeni anaweza akashindwa kuhimili japo wapo wanaotoboa
Nina mzee mmoja kafeli biashara baada ya kustaafu na kuwehuka kawehuka pale Vikunai. Kastaafu zake uanajeshi kafungua biashara msimamiz mkewe 😂
 
Nina mzee mmoja kafeli biashara baada ya kustaafu na kuwehuka kawehuka pale Vikunai. Kastaafu zake uanajeshi kafungua biashara msimamiz mkewe 😂
Tunaohanhaika mtaani tunaonekanaga kama tulikose maisha vile ila hizo heka heka ukishazoea hata ukifika 60 bado hutaona ajabu ukikutana na misukosuko maaana hakuna la kukustua ila wageni (waajiriwa )sasa wakifika field na kuona mambo vile yako lazima wahahe ukizingatia alizoea kila mwisho wa mwezi anaenda kutega ATM.
 
Back
Top Bottom