Biashara ya choo baada ya kustaafu utumishi wa umma

Ailete tu deposit Forex. Kwa mtaji wa $50,000 kupata 5% ya hela ni uhakika kila siku. Tuta deal na volatility indices ambazo haziathiriwi na News. Daily soko lipo.
πŸ˜€πŸ˜€ Msalimie Sirjef
 
Nina mzee mmoja kafeli biashara baada ya kustaafu na kuwehuka kawehuka pale Vikunai. Kastaafu zake uanajeshi kafungua biashara msimamiz mkewe πŸ˜‚
 
Hao watu wa kwenye madafutari sio rahisi, Kuna watu sokoni wanabanwa haja kubwa wanajamba tu na kuonana sembuse ndogo.
Amesema ataweka maeneo tofauti, sio eneo moja
 
Nina mzee mmoja kafeli biashara baada ya kustaafu na kuwehuka kawehuka pale Vikunai. Kastaafu zake uanajeshi kafungua biashara msimamiz mkewe πŸ˜‚
Tunaohanhaika mtaani tunaonekanaga kama tulikose maisha vile ila hizo heka heka ukishazoea hata ukifika 60 bado hutaona ajabu ukikutana na misukosuko maaana hakuna la kukustua ila wageni (waajiriwa )sasa wakifika field na kuona mambo vile yako lazima wahahe ukizingatia alizoea kila mwisho wa mwezi anaenda kutega ATM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…