Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Nak


Nakukaribisha uje kipumbwi upate mzigo mkubwa mkuu kama utakua unahitaji zaidi!
 
ndoo kubwa ya kg 10 Ni tsh 55,000.....

kwa maana hiyo kilo Ni 5,500
Mkuu mbona swali langu umepiga kimya kunijibu kuhusu Uduvi nikiwa Tanga maeneo gani nitapata Uduvi na kwa bei nafuu maana nashinda kwaajili ya mifugo yangu.
 
Nipe tofauti ya dagaa mchele na uwono ..maana pale majani mapana akipita muuzaji utasikia dagaa mchele na uwono
 
Brother picha iusike
hao dagaa nyama Ni wapi hao ( weka picha yao )
pia weka picha ya dagaa unao wauza ww
Nauza dagaa nyama mkuu.... Na picha ipo hapo kwa juu Kuna mdau mmoja amesaidia kuweka.... Mimi picha zimekataa ku upload kwa cm yangu
 
sasa mimi nipo dar usafiri ni juu yenu au yangu, kama yangu ni bei gani kusafirisha
Mzigo wa kilo kumi , ishirini ,thelathini mpaka hamsini Ni TSH 5,000 tuu.... Na kea dar Mara nyingi huwa natuma na gari la raha leo
 
mawasiliano hata ya whatsup hujiweka namba
Sijataka kuweka mawasiliano public kiongozi... Nmependa vitu vyote nijibie humu mawasiliano ntampa mteja kwa pm kea anaetaka mzigo ila huku SI unajua Kuna wengine watafaidika tuu hata bila ya kupata mawasiliano yanguu....

Ila kwa contacts zangu njoo pm kiongozi
 
Mkuu mbona swali langu umepiga kimya kunijibu kuhusu Uduvi nikiwa Tanga maeneo gani nitapata Uduvi na kwa bei nafuu maana nashinda kwaajili ya mifugo yangu.
Mkuu samahani ngoja niulizie ntakupa jibu baadae kidogo
 
Nipe tofauti ya dagaa mchele na uwono ..maana pale majani mapana akipita muuzaji utasikia dagaa mchele na uwono
Huku tanga sijasikia wakiitana neno dagaa mchele huwa wanataja uono.... Dagaa mchele ndo uono... Hao Ni dagaa wabichi ambao ndo wamevuliwa tuu
 
Nilipomaliza form six wakati Niko home nliwahi kufuatana na mshkaji wangu ambae yeye alikuwa anaanika kasera kule sahare. Tulifika mpaka Magoma huko.

Juzi amenipigia simu kuhusu hiyo biashara yake, alinikumbusha mbali sana na imebidi nimfae na ameanza tena kuanika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…