Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

Biashara ya daladala ni usimamizi ukiwa na usimamizi mbovu huwez hiyo biashara, mimi imenishinda nimepaki DCM karibu miezi 6 na hiv sasa liko sokon
 
Biashara ya daladala ni usimamizi ukiwa na usimamizi mbovu huwez hiyo biashara, mimi imenishinda nimepaki DCM karibu miezi 6 na hiv sasa liko sokon

niuzie
 
Mkuu tuanzie kwenye uhai wa chombo chenyewe je nimashine nzima!? Siyo spana mkononi!
Wakati mwingine Mmiliki ananunua third hand imechokaa changamoto kubwa zaidi,
Mimi kama chombo kizima nakulipa weekly upfront ila kwa hesabu inayozingatia hali ya kama zinavyo bana mzigo wa kuni kwa sasa.
 
Au ukanunue shares Kwenye kampuni inayoeleweka.
 
biashara ya daladala inalipa sana, kama sio kiongozi usijaribu kuifanya.
 
mkuu, usiogope hakuna , hakuna biashara rahisi, wala kazi rahisi.

ni saw a kuna watu wanaamini somo LA hesabu ni gumu, kumbe kuna watu wanapiga 100%
 
wakuu naomba ushauri..nataka kununua bus aina rosa eingine 4d33 used from japan...nifanye daladala.je kweli hizi gari zinastahamili vishindo vya kazi?
 
Hebu sikilizeni nyie, achenaneni na hyo mambo yanapoteza mda wenu bureee! Karibuni kwenye ulimwengu wa FOREX, unalamba hadi 2millions in 30 seconds, hahahaa! Najua mtashangaa ila ukweli ndo huo..
 
Duh, hii ngumu kumeza asee..
 
Hebu sikilizeni nyie, achenaneni na hyo mambo yanapoteza mda wenu bureee! Karibuni kwenye ulimwengu wa FOREX, unalamba hadi 2millions in 30 seconds, hahahaa! Najua mtashangaa ila ukweli ndo huo..

Hebu nawe wacha mambo ya kujisifa bila ya ushahidi wowote, tuonyeshe ni vipi umekuwa ukitengeneza hizo milioni in 30 seconds na pia itakuwa vizuri zaidi ukitueleza, kama unatengeneza helo sote hizo kwa second 30, ni kwa nini hadi sasa hajulikani kuwa miongoni mwa matajiri wakubwa nchi?
 
Lakin hilo nalo ndilo tatiz kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…