Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

Hivi yule mkurugenzi kitengo aliyetumbuliwa juzi juzi hapa aliteuliwa kipindi gani?

Ova
 
Hivi mfumo imara ni nini na unajengwaje na unafanyaje kazi pasi na kuwa na wasimamizi imara ? Maana huwa naona huu wimbo unaimbwa sana.
 
Wao wamewavuna faru na tembo wote, wacha nasisi tuzione fursa kwa upande wa pili
 
Hawa wasukuma wachache ni wakupuuzwa tu, wanamsakama mama, lengo wamkwamishe, dawa yake awanyooshe tu ili wamsahau uyo mungu wao
Jinga sana hawa watu! Yaani wanataka kuaminisha watu kwamba wakati wa JPM mambo yalikuwa shwari kabisa... hivi sasa likitokea jambo lolote lile, utasikia "...wamerejea upya"!

Halafu walivyo wapumbavu, huwa wananuna hata yakifanywa mazuri provided zuri hilo halikufanywa na JPM! Kwao wao leo likifanywa jambo zuri ambalo halikufanywa na JPM wanaona ni kama linakusudia kuonesha JPM alikuwa mbaya!!

Yaani hii mijamaa ingefurahi sana kama ingesikia ule ukandamizaji unaendelea tena kwa kasi ya kutisha zaidi! Ingejisikia faraja kama ingesikia TRA wanaelewa watembee na bastola na kumlipua yeyote atakayesumbua kulipa kodi!

Yalivyo majinga, yapo tayari yenyewe yaumie ili mradi tu kumtukuza Mungu Mtu!
 
Uhalifu hauwezi kuisha kabisa ila kuna namna ya kupunguza, kipindi cha jei kei wa Tanzania tulikuwa tuna vyumba vyetu maalum vya ukaguzi tunapofika viwanja vya Ndege kwani nchi ilikuwa ni transit kubwa sana ya Madawa tuongelee hilo suala bila kuweka itikadi zetu tuliangalie kwa ypana ana masilahi ya vijana wetu...tunarudi kule tulipotoka ambapo ukifika uwanja wa Ndege na kuonyesha passport ya kitanzania unaingizwa kwenye chumba maalum cha ukaguzi na kuvuliwa nguo zote ili ufanyiwe upekuzi wa kudhalilisha, hawa jamaa waliokamatwa India wamekamatwa na medical visa, kitu ambacho hakiwezekani kwa mazingira ya kawaida India kwa sasa ni ya pili duniani kwa wagonjwa na Vifo vya korona hosipitali zimefurika, hakuna rufaa za matibabu za kwenda India tena ila watu hawa waliweza kupita kwenye viwanja vyetu......hapa kuna chain kuanzia maafisa uhamiaji, maafisa usalama wa uwanja wa ndege, mamlaka yenye dhamana nakadhalika.....mnaokuja na mapovu mnajaribu kutetea nini?
 
Kwa lipi? Kwamba madawa yaliingizwa baada ya kufa?? Tuache unafiki, hizi mambo hazijawahi kuisha, sema tu hawa jamaa wamechukua kilo kadhaa maana haisomeki tani moja tena bali 860kgs
acha ujinga bana.mnatia aibu na ujinga wenu.

uliza watu wenye mamlaka na hizi mambo utaelekezwa.
 
Mbona tumeshuhudia wakati wa utawala wa jiwe watu wakiiamatwa china na kunyongwa? Usitake kusema ati alizuia kabisakabisa
na tani kadhaa kushikwa bandarini.

mnapenda sana kujifunika upumbavu.
 
jpm alidhibiti unga,matundu ni kawaida maana kila sehemu kuna binaadamu wenye tabia zao.

leo utaanza kubishana na watu kwamba hata ujambazi na ujangiri hakuna alichofanya???huo unga ndio umesababisha uhasama mkubwa sana na watu.

na tobo la kwanza la mama kufeli akilegeza hapo.
 
Kwa lipi? Kwamba madawa yaliingizwa baada ya kufa?? Tuache unafiki, hizi mambo hazijawahi kuisha, sema tu hawa jamaa wamechukua kilo kadhaa maana haisomeki tani moja tena bali 860kgs
Umewaza Kama Mimi ambaye naona haya yalikuwa Kama hidden story lkn ni wala tatizo halikutatuliwa ht kwa robo kiwango...unga ni unga tu na hela yake ni ya maungaunga
 
Kwhy waliokuwa wakisimamia huo unga walizikwa na hayati au bado wapo kazini.??
 
Kumpata mtu kama JPM tutasubiri sana!

Nchi imeshashikwa na majambazi!
JIDANGANYENI HIVYO HIVYO NGOJA ZIPITE SIKU TISINI (90) UONE VUMBI LAKE,SYSTEM ZOTE ZITAANZA KAZI KWA KASI,STILL BADO TUPO MSIBANI NDG.
MAAGIZO MAGUMU YAANZA KUTOLEWA
STAY TUNE,TASK FORCE NA VYOTE KAMA KAWA.
 
Umenena vyema,
 
Akili zao zinasema hivi:-
Wakati wa JPM ukikamatwa wanakwambia vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali. Serikali ipo makini.
Leo hii ukikamatwa, utasikia biashara imerejea.

Zote hizi ni lugha tu, lakini uhalisia ni kwamba biashara ipo siku zote.
Ingekomeshwa awamu ya 5 tusingeona watu wakikamatwa. Pia serikali ingekuwa haijali (kukumbatia wafanya biashara wa madawa) kama tunavyotaka kujiaminisha, tusingeona watu wakikamatwa pia.
 
Aisee yaan wanakera sana,, mama awashughulikie hawa wahaini wachache wa mungu wa chatttle,, hawa kenge wanataka kumkwamisha Madam president
 
Mbowe achie ngazi umelalamikiwa na wengi,.
ipo siku hao nyumbu unaowalipa kukutetea watachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…