IamJackReacher
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 300
- 396
mimi macho* yangu yapo TSS, Polisi na PCCBKumpata mtu kama JPM tutasubiri sana!
Nchi imeshashikwa na majambazi!
alafu baadaye nitayarushia* upande wa JWTZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi macho* yangu yapo TSS, Polisi na PCCBKumpata mtu kama JPM tutasubiri sana!
Nchi imeshashikwa na majambazi!
Safi sanaHawa wasukuma wachache ni wakupuuzwa tu, wanamsakama mama, lengo wamkwamishe, dawa yake awanyooshe tu ili wamsahau uyo mungu wao
Hivi mfumo imara ni nini na unajengwaje na unafanyaje kazi pasi na kuwa na wasimamizi imara ? Maana huwa naona huu wimbo unaimbwa sana.Ndio ujinga wa kumjenga mtu badala ya kujenga mifumo na institutions imara. Ujinga huu umeletwa na CCM ukasifiwa na Wana CCM, unakosolewa na wana CCm, unalindwa na kufurahiwa na wana CCm, unalalamikiwa na wana CCm . mwisho unaishia kusonya na kuwaona vichaaa Kama chichidodo
Jinga sana hawa watu! Yaani wanataka kuaminisha watu kwamba wakati wa JPM mambo yalikuwa shwari kabisa... hivi sasa likitokea jambo lolote lile, utasikia "...wamerejea upya"!Hawa wasukuma wachache ni wakupuuzwa tu, wanamsakama mama, lengo wamkwamishe, dawa yake awanyooshe tu ili wamsahau uyo mungu wao
acha ujinga bana.mnatia aibu na ujinga wenu.Kwa lipi? Kwamba madawa yaliingizwa baada ya kufa?? Tuache unafiki, hizi mambo hazijawahi kuisha, sema tu hawa jamaa wamechukua kilo kadhaa maana haisomeki tani moja tena bali 860kgs
na tani kadhaa kushikwa bandarini.Mbona tumeshuhudia wakati wa utawala wa jiwe watu wakiiamatwa china na kunyongwa? Usitake kusema ati alizuia kabisakabisa
Ndiyo Ukweli Wenyewe'Mtanikumbuka'.......by mwendazake!
jpm alidhibiti unga,matundu ni kawaida maana kila sehemu kuna binaadamu wenye tabia zao.Kwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?
Hapa chini ni February 02, 2020
Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!
Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018
Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi
Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi
Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!
Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!
Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!
Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!
What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
Umewaza Kama Mimi ambaye naona haya yalikuwa Kama hidden story lkn ni wala tatizo halikutatuliwa ht kwa robo kiwango...unga ni unga tu na hela yake ni ya maungaungaKwa lipi? Kwamba madawa yaliingizwa baada ya kufa?? Tuache unafiki, hizi mambo hazijawahi kuisha, sema tu hawa jamaa wamechukua kilo kadhaa maana haisomeki tani moja tena bali 860kgs
yes tunamkumbuka kwa kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi.'Mtanikumbuka'.......by mwendazake!
Kwhy waliokuwa wakisimamia huo unga walizikwa na hayati au bado wapo kazini.??jpm alidhibiti unga,matundu ni kawaida maana kila sehemu kuna binaadamu wenye tabia zao.
leo utaanza kubishana na watu kwamba hata ujambazi na ujangiri hakuna alichofanya???huo unga ndio umesababisha uhasama mkubwa sana na watu.
na tobo la kwanza la mama kufeli akilegeza hapo.
JIDANGANYENI HIVYO HIVYO NGOJA ZIPITE SIKU TISINI (90) UONE VUMBI LAKE,SYSTEM ZOTE ZITAANZA KAZI KWA KASI,STILL BADO TUPO MSIBANI NDG.Kumpata mtu kama JPM tutasubiri sana!
Nchi imeshashikwa na majambazi!
wako kazini sasa bila bugdha wala wasi wasi.Kwhy waliokuwa wakisimamia huo unga walizikwa na hayati au bado wapo kazini.??
Umenena vyema,jpm alidhibiti unga,matundu ni kawaida maana kila sehemu kuna binaadamu wenye tabia zao.
leo utaanza kubishana na watu kwamba hata ujambazi na ujangiri hakuna alichofanya???huo unga ndio umesababisha uhasama mkubwa sana na watu.
na tobo la kwanza la mama kufeli akilegeza hapo.
Akili zao zinasema hivi:-Kwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?
Hapa chini ni February 02, 2020
Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!
Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018
Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi
Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi
Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!
Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!
Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!
Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!
What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
Aisee yaan wanakera sana,, mama awashughulikie hawa wahaini wachache wa mungu wa chatttle,, hawa kenge wanataka kumkwamisha Madam presidentJinga sana hawa watu! Yaani wanataka kuaminisha watu kwamba wakati wa JPM mambo yalikuwa shwari kabisa... hivi sasa likitokea jambo lolote lile, utasikia "...wamerejea upya"!
Halafu walivyo wapumbavu, huwa wananuna hata yakifanywa mazuri provided zuri hilo halikufanywa na JPM! Kwao wao leo likifanywa jambo zuri ambalo halikufanywa na JPM wanaona ni kama linakusudia kuonesha JPM alikuwa mbaya!!
Yaani hii mijamaa ingefurahi sana kama ingesikia ule ukandamizaji unaendelea tena kwa kasi ya kutisha zaidi! Ingejisikia faraja kama ingesikia TRA wanaelewa watembee na bastola na kumlipua yeyote atakayesumbua kulipa kodi!
Yalivyo majinga, yapo tayari yenyewe yaumie ili mradi tu kumtukuza Mungu Mtu!