Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

Hivi mfumo imara ni nini na unajengwaje na unafanyaje kazi pasi na kuwa na wasimamizi imara ? Maana huwa naona huu wimbo unaimbwa sana.
Hujui kitu kaa kimya,mfumo imara ni KATIBA,mfumo ukiwa imara kiongozi akiwa dhaifu mfumo utamnyoosha ila kiongozi akiwa mzuri mfumo mbaya lzm huyo kiongozi aharibu tuu
 
China ukikamatwa na unga adhabu yake ni kunyongwa lakini bado watu wanaingiza unga kama hawana akili leo hii useme jiwe alikomesha hio biashara ni maajabu
 
Hujui kitu kaa kimya,mfumo imara ni KATIBA,mfumo ukiwa imara kiongozi akiwa dhaifu mfumo utamnyoosha ila kiongozi akiwa mzuri mfumo mbaya lzm huyo kiongozi aharibu tuu
Sasa si ndiyo nimeuliza kijana ?
 
China ukikamatwa na unga adhabu yake ni kunyongwa lakini bado watu wanaingiza unga kama hawana akili leo hii useme jiwe alikomesha hio biashara ni maajabu
Sijasema kuwa alikomesha biashara hiyo,lkn ni ukweli kuwa alipunguza kwa kiasi kikubwa uingizwaji wa madawa hayo,hata watumiaji au mateja mitaani walipungua sana.
Hapo awali biashara ilishamili sana kuanzia kwenye vijiwe,kumbi za starehe mpaka kwa mama ntilie,hali ilikuwa mbaya.
Awamu ya 5 ilijitahidi kuongeza nguvu kwenye vita dhidi ya biashara hiyo.
 
Kwa lipi? Kwamba madawa yaliingizwa baada ya kufa? Tuache unafiki, hizi mambo hazijawahi kuisha, sema tu hawa jamaa wamechukua kilo kadhaa maana haisomeki tani moja tena bali 860kgs
Hii biashara haiwezi kuisha mpaka mwisho wake dunia, au kutokee matumizi yake mengine. Ni biashara ambayo Ina risk kubwa sana, pia inafaida kubwa sana Mara millions kuliko biashara zote duniani, Kama hao watanzania walikuwa na kilo mbili values yake 13.35crores ni sawa $2,000,000 ina maana hizo tone moja or kilo 860ni sawa $860,000,000.00 sawa na pesa ya kitanzania trillions 2. Kwa nini wasifungue vituo vya mafuta kila mtaa wa nchi, au wanunue mabasi mapya 100 kwa mpigo. Mwache JPM alale amelala na mengi .
 
Tatizo sijui mnatembea na vibuyu kichwan au sijui mnafikiria kwa kutumia ni nin?mnashindwa kbs kuelewa uhuru wa habar ndio ulisababisha tusipate hizo taarifa.....
 
tuwafichue wauza madawa popote walipo.
tutoe taarifa wkamatwe.

Tanzania Bila wauza madawa ya kulevya inawezekana, toa taarifa wakamatwe.
 
Tatizo sijui mnatembea na vibuyu kichwan au sijui mnafikiria kwa kutumia ni nin?mnashindwa kbs kuelewa uhuru wa habar ndio ulisababisha tusipate hizo taarifa.....
Dah! 😅,wewe unaishi shimoni kiasi kwamba ushindwe kuona kinachoendelea ndani ya jamii mpaka usubili vyombo vya habari😅.Nonsense
 
hamna tatizo muda ni mwalimu mzuri.

nimekupa mfano wa ujangiri na ujambazi,kwa makusudi unauruka ili dhana yako isiingie doa.

kazi za mtu huwa zinaongea,kuziita makelele na maonyesho ni maamuzi ya mtizamaji.


That's just first page of the search result...

Btw, unaweza kutaja hapa Serikali ya JPM ilifanya mikakati ipi kupambana na majangili?! Sie tunaofuatilia ukweli tunafahamu Operesheni Tokomeza Majangili ilifanywa na JWTZ wakati wa JPM akiwa waziri!

Ilikuwa ni operesheni kubwa ambayo ilizua sokomoko hadi bungeni! Haya nijuze, Shujaa mnayehangaika sana kutaka kuaminisha watu kwamba alikuwa ndo kila kitu, alianzisha vita ipi dhidi ya majangili? Au walipoona kaingia madarakani tu, majangili wakaufyata?
 
labda useme ugomvi wako ni kuona jamaa akisifiwa.

opperation tokomeza ilifanywa wakati wa jakaya rais wenu bora wa muda wote,sina uhakika kama unajua kilichofanywa na wanajeshi wale nje na kazi waliyotakiwa kuifanya,badala yake kanali katibu mkuu akaendelea kung'ara kwenye harakati zile za kuwamaliza wanyama.

jpm atabakia kuwa rais bora wa watanzani kwa muda wote,hiyo haijalishi kuna mtu anachukia kuambiwa hivyo ama anaumia,nenda kaulize huko kwenye chama pia,majibu wanayo.uthubutu wake aliouonyesha wakati akiwa waziri wa ujenzi,ndio uliofanya mambo mengi ya kipuuzi kupungua,ni kipindi cha jpm ambapo vibaka na majambazi waliokutwa na silaha wala hawakufikishwa mahakamani kusumbua mahakimu,na kisha kuachiwa kwa dhamana kisha kurejea usumbufu wao tena.

utasema unga uliingia mtaani,ila nitakwambia wakati huo waagizaji na wauzaji walikuwa na tahadhali na adabu kuliko wakati wowote,vipi leo kuingiza tani kadhaa za kitu kama heroin leo????
 
Hiyo mifumo inaongozwa na panya !!?
au binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…