Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
282
Reaction score
561
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu.

Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka imebadilishwa na kuandika kiwango kidogo cha Madawa kuliko kile cha awali.

Watanzania wengine wamekamatwa nchini India 🇮🇳 wakiwa na kilo mbili za cocaine kama chanzo kinavyoonyesha kwenye picha, hii inaenda sambamba na idadi kubwa ya watumiaji ambao wameanza kuonekana katika mitaa yetu. Swali langu ni kwa nini wanadhani sasa ni muda sahihi?

=====

Capture.PNG
 
Acha watafute fedha. Wengine wametafuna mabilioni ya umma lakini no action taken.
Acha wajihangaikie na riziki zao.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yaani utafute fedha kwa kuua watu?

Mhhhh! Nyie ndio wale watoto ambao mama zenu walifanya mauzo ya papuchi kando ya barabara!

Mmezoea utamu wa fedha haramu!
 
Kwahiyo mnataka kutuambia wakati wa JPM hayo mambo yaliisha, au?

Hapa chini ni February 02, 2020



Mbaya zaidi, mzigo umekamatiwa ndani... yaani ulivuka vikwazo vyote!

Hapa DCEA nao wanatuambia habari za Lina Roman aliyekuwa amedakwa na unga February 2018

Kwa mara nyingine, February 01 DCEA hao hao wanatuambia habari za watu 3 waliokamatwa na dawa za kulevya huko Kunduchi

Hapa tena, tunaambiwa habari za Wanaija waliokuwa wamekamatwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 200 huko Mbezi

Najua mnataka kutuonesha JPM alikuwa kiboko ya wauza unga lakini ukweli ni kwamba, unga umeendelea kuwepo hata wakati wa JPM! Hapo juu ni mifano michache tu, na mbaya zaidi, dawa za kulevya zilikamatwa kwenye nyumba za watu!

Kwa maana nyingine, zilivuka vikwazo vyote, na ukiona wamekamatwa home, ina maana kuna mizigo mingine ilishakuwa mtaani!!!

Na kwa mwaka huu, sijawataja wale madogo wawili waliokutwa na 30kg huko Mbezi!!

Kwahiyo tusidanganyane kwamba leo hii mtu akikamatwa na unga, eti "warejea kwa kasi" wakati waliendelea kuwapo!

Na kuwakumbusha tu ni kwamba, China wame-advance kwenye masuala ya ulinzi kuliko sisi! Mbaya zaidi, kule wanakunyonga kabisa! Pamoja na yote hayo, watu hadi kesho wanaendelea kupeleka mzigo China!!

What's so special kilichokuwapo wakati wa JPM hadi kiwafanye watu waiogope TZ kuliko China au Iran?!
 
Mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya haukuwahi kupungua hapa Tanzania kiuhalisia, umeendelea kuwepo lakini kwa style tofauti. Habari na matukio yake zinaweza kuwekwa wazi sasa kwa sababu utawala kwa kiasi uko huru kuyasimulia au zinaweza kufichwa kwa woga wa kumchafua mtawala (hili lilikuwa kwa Magufuli).
 
Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.

Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
 
Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.
Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
Ndio ujinga wa kumjenga mtu badala ya kujenga mifumo na institutions imara. Ujinga huu umeletwa na CCM ukasifiwa na Wana CCM, unakosolewa na wana CCm, unalindwa na kufurahiwa na wana CCm, unalalamikiwa na wana CCm . mwisho unaishia kusonya na kuwaona vichaaa Kama chichidodo
 
Back
Top Bottom