Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu


Asante mkuu kwa wazo lako but tunaomba mchanganuo wake,i mean wap napata mashine za kunyolea,bei yake ipi ni nzuri na imara, vifaa gan muhimu napaswa kuwa navyo hapo na gharama zake na kadhalika
 
Ni sahihi,, ila sasa kama Uko na uhitaji weka no yako Nita kupigia au Ni text
 
asante mkuu kwa wazo lako but tunaomba mchanganuo wake,i mean wap napata mashine za kunyolea,bei yake ipi ni nzuri na imara, vifaa gan muhimu napaswa kuwa navyo hapo na gharama zake na kadhalika
Ni sahihi,,ila sasa kama Uko na uhitaji weka no yako au nitext
 
Mkuu hii biashara unaijua vizuri nimekukubali, sema ndugu yangu hakuna biashara rahisi. Kwa mfano hyo ya genge nayo ni pasua kichwa kinoma. Vitu vinaharibika sana usipokua na wateja wa kutosha.
 
Aisee, huo mtaji wako ni wa genge wala si duka la reja reja.

Nakushauri,kama unataka kufanya biashara ya mtaji huo wa 1,000,000 basi usikodi kwanza duka,usijisajili TRA, ajiri kijana kwa ujira mdogo ikiwezekana ishi naye.

Vinginevo imekula kwako
 
Ni sahihi,,ila sasa kama Uko na uhitaji weka no yako au nitext
kwasasa nimeishiwa chaj mkuu ila ukini pm cont itapendeza zaid. sikuwa na wazo la kuanza hyo biashara lkn maelezo yako yamenifanya niwe interested
 
Na hizi biashara ndio sehem zake, yani mtu hawezi kununua bidhaaa ya mwez ikae ndani. Yeye daily lazima azame shop.
 
Safi sana kamanda tunavuna elimu na ujuz mkuu.
 
Kaka sijakuelewa kuuliza kuhusu saluni au biashara ya rejareja.
 
HIV haya maduka ya uswahilin mbona wansema pesa huwa zinapotea kiajabu ajabu je kuna ukweli hapo na kama itakua kwel dawa ni ipi
 
Habari zenu wakuu,

Nimetafuta ajira sana ila sijafanikiwa, nimeona nijiajiri, kuna biashara imenivutia ya kuweka kibanda maeneo ya stand au ktk vituo vya daladala, mf wa bidhaa kama maji, pipi, juice n.k.

Linakuwa kama duka la rejareja dogo, swali langu kwenu wakuu ni wapi kwa hapa Dar kwenye mzunguko wa watu wengi na ninapoweza pata nafasi ya kuweka kibanda hicho ambacho kwa baadaye naweza weka na M-Pesa.
 
Wewe una ishi wapi kwanza. Mana unaweza kuweka kibanda mwenge arafu wewe una ishi mbagala au kibaha mwisho wa siku nusu na robo ya faida ina kuwa ina ishia njiani. Kwenye kugharamia usafiri na mambo mengine
 
Wewe una ishi wapi kwanza. Mana unaweza kuweka kibanda mwenge arafu wewe una ishi mbagala au kibaha mwisho wa siku nusu na robo ya faida ina kuwa ina ishia njiani. Kwenye kugharamia usafiri na mambo mengine
Naishi Mbagala mkuu ila umbali si tatizo naweza hamia karibu na eneo endapo, biashara ni nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…