Mkuu unaweza anza kama umeshalipa kodi ya pango,leseni lazma uwe nayo kuna service levy unachangia na fire nao naona wameanza.
kwa mtaji wa 2m kama umeshalipa vyote unaweza anza kabisa nwnda pale manzese tiptop wanauza vitu vya jumla weka vitu kulingana na maeneo unayoishi weka vitu vinavyotoka mfano maji,juisi hasa mo juidi znapendwa sana kwa sasa unga wa embe,ngano,sukari ya kupima kama lipo uswazi mchele, maharage ya kupima, sabuni pia za mche, unga mafuta ya kula viberiti na vingine vidogovidogo.usijaze duka kwa mali ambazo haziuziki.