Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu faida ya duka la rejareja ni kati ya 10% hadi 18%. Na hilo ni duka gani uuze 300,000 kwa mwezi? Mi nina duka la mtaji 2 mil nauza kati ya elfu 40 hadi 60 kwa siku pia nina genge nauza elfu 25 hadi 40 kwa siku. Na trend ya msuzo inakuwa positivelyDuka la rejareja faida yake ni ndogo mnooo,kwa mfano waweza uza laki tatu kwa mwezi ukapata faida 15000 tuu.Kwa mm ninavyoona fanya biashara ya kitu kimoja kingi uuze kwa jumla mfano viazi toka Mbeya to dar,au maharage na nafaka nyingine.
Nilitaka kufanya maamuzi ya haraka na sikuwa na mda wa kusubiri japo kuna waliojitokeza kunisaidia na nawashukuru sana. Sio kwamba sikujua kuwa nitapoteza elfu 40 ila kama kuna mtu angejitokeza na kunipa vitu nilivyotaka sikuwa na hiana kumpa hiyo pesa maana nilishapanga kufanya hivyo na najua angepoteza muda wake na rasilimali kuifanya hivyo.Kutoa elfu 40 ni kujitakia tu, hata usingetangaza hilo dau still watu wangekusaidia.
Hii habari haina relation kabisa na hii kitu unaongea.......duka la reja reja korosho waachie wenyenazoKorosho
Kwa kuongeze hapa uliposema sio rahisi kuuza bidhaa za duka la reja reja kama umesite vizuri kwa mwezi uuze 300,000. Huyu jamaa alipost hii post kabla sijaanza na kama ningemsikiliza ningekata tamaa. Tujaribu kuchangia mada tunazojua undani wake kwa faida ya wengi na sio kuchangia kitu ambacho hujakifanya. To be honest tangu nimeanza leo hii mwezi wa tatu sijawahi kuuza kwa mwezi chini ya laki 9 ni kati ya 1.2 mpaka 1.5 a month. Hata kama mtu ukiuza 300,000 kwa mwezi kwa profi margin ya 10 to 18% huwezi kupata tu 15,000 labda kama uwe hujafanya pricing nzuri na kupunguza matumizi dukani. Tunaofanya hii biashara tunaona na kujua yaliyomo na binafsi niko tayari kumshauri mtu yeyote anayetaka kuingia huku kwa uzoefu wangu wa angalau these 3 months.Mkuu faida ya duka la rejareja ni kati ya 10% hadi 18%. Na hilo ni duka gani uuze 300,000 kwa mwezi? Mi nina duka la mtaji 2 mil nauza kati ya elfu 40 hadi 60 kwa siku pia nina genge nauza elfu 25 hadi 40 kwa siku. Na trend ya msuzo inakuwa positively
Kuuza laki 3 kwa mwezi maana yake unauza elfu 10 kwa siku. Hapo unakuwa ulifungua duka bila kupata ushauri au kupiga hesabu zako vizuri
Shukrani mkuuKila la kheri...
Kwa kuongeze hapa uliposema sio rahisi kuuza bidhaa za duka la reja reja kama umesite vizuri kwa mwezi uuze 300,000. Huyu jamaa alipost hii post kabla sijaanza na kama ningemsikiliza ningekata tamaa. Tujaribu kuchangia mada tunazojua undani wake kwa faida ya wengi na sio kuchangia kitu ambacho hujakifanya. To be honest tangu nimeanza leo hii mwezi wa tatu sijawahi kuuza kwa mwezi chini ya laki 9 ni kati ya 1.2 mpaka 1.5 a month. Hata kama mtu ukiuza 300,000 kwa mwezi kwa profi margin ya 10 to 18% huwezi kupata tu 15,000 labda kama uwe hujafanya pricing nzuri na kupunguza matumizi dukani. Tunaofanya hii biashara tunaona na kujua yaliyomo na binafsi niko tayari kumshauri mtu yeyote anayetaka kuingia huku kwa uzoefu wangu wa angalau these 3 months.
Hongera sana mkuu.Nilifanikiwa mkuu naendelea mdogo mdogo. Kifupi bidhaa huwa nanunulia maduka ya jumla pale Manzese Tip top na darajani na ndo nilienda kuna wauzaji waungwana sana wakanipa list zote na utaratibu wa kupanga bei.
Kuna jamaa walijitokeza humu kunisaidia ambao nilitaka niwape elfu 40,000 ila nikaona wazugaji tu. Mara tuma kwanza pesa mara njoo tuonane hii kasi sio rahisi kama unavyofikiri na wakati mimi nilitaka mtu aniandalie excel file yenye bidhaa zote na bei ya kununulia na kuuzia na wapi nikanunue alafu nampa hiyo 40,000 simple tu. Watu wagumu kweli. Baada ya kuona longo longo hizi na mimi ni mtu aisiyetaka complication na mtu wa kuyaona mambo hata magumu kuwa ni marahisi nikaachana nao nikaingia mwenyewe chimbo madukani na kwenye maduka ya akina mangi na kuulizia. Wengine walinifukuza na wengine walikataa kata kata hata kwa kuwalipa. Ila kwa vile penye nia pana njia nilifanikiwa. Na kwa vile sina hiyana na tamani watanzania wenzangu watamanio kuifanya hii biashara waifanye bila longo longo nyingi nimeweka hapa baadhi ya bidhaa ambazo nimezidowload kwenye accounting software ninayotumia dukani. So far so good nilianza na mauzo ya siku ya kwanza ya shilingi 10,200 nikala faida ya buku mbili kwa siku na kwa sasa in average mauzo ni 70,000 kwa siku with average profit ya 30% ambayo ni 21,000 kwa siku.
Nenda kafungue mkuu na niulize nikwambie ninayoyajua so far kwa hii experience ya miezi mitatu.
Karibu sana
Mkomamazu
Nashukuru sana kwa mleta huu uzi kwani hata mimi mwakani niWadau naomba kama kuna mtu anafanya biashara ya duka la rejareja kwenye makazi ya watu anisaidie list ya bidhaa dukani nikahemee. Nataka kufungua duka la rejareja mtaani kwangu nimeshaandaa fremu na mambo mingine kilichobaki ni kuchukua mzigo. Unisaidie bidhaa zinazotoka sana dukani. Najua maeneo yanatofautiana ila kwa makazi yetu watu wa wastani na kawaida nadhani mahitaji yetu yanafanana. Duka nalifungua maeneo ya kibamba. Nimetenga milioni 5 ya mzigo na nitashukuru kama utanisaidie na bei za jumla za kuchukua mzigo ili nijue nichukue kiasi gani na mahali unapochukulia pia. Natambua taarifa ni mali, hivyo nimetenga elfu 40 kwa atakaenisaidia hili. Ni PM. I will pay you seriously. Nahitaji anaefanya biashara hii tafadhali.
NB supplier wa unga na mchele nishampata
Nilifanikiwa mkuu naendelea mdogo mdogo. Kifupi bidhaa huwa nanunulia maduka ya jumla pale Manzese Tip top na darajani na ndo nilienda kuna wauzaji waungwana sana wakanipa list zote na utaratibu wa kupanga bei.
Kuna jamaa walijitokeza humu kunisaidia ambao nilitaka niwape elfu 40,000 ila nikaona wazugaji tu. Mara tuma kwanza pesa mara njoo tuonane hii kasi sio rahisi kama unavyofikiri na wakati mimi nilitaka mtu aniandalie excel file yenye bidhaa zote na bei ya kununulia na kuuzia na wapi nikanunue alafu nampa hiyo 40,000 simple tu. Watu wagumu kweli. Baada ya kuona longo longo hizi na mimi ni mtu aisiyetaka complication na mtu wa kuyaona mambo hata magumu kuwa ni marahisi nikaachana nao nikaingia mwenyewe chimbo madukani na kwenye maduka ya akina mangi na kuulizia. Wengine walinifukuza na wengine walikataa kata kata hata kwa kuwalipa. Ila kwa vile penye nia pana njia nilifanikiwa. Na kwa vile sina hiyana na tamani watanzania wenzangu watamanio kuifanya hii biashara waifanye bila longo longo nyingi nimeweka hapa baadhi ya bidhaa ambazo nimezidowload kwenye accounting software ninayotumia dukani. So far so good nilianza na mauzo ya siku ya kwanza ya shilingi 10,200 nikala faida ya buku mbili kwa siku na kwa sasa in average mauzo ni 70,000 kwa siku with average profit ya 30% ambayo ni 21,000 kwa siku.
Nenda kafungue mkuu na niulize nikwambie ninayoyajua so far kwa hii experience ya miezi mitatu.
Karibu sana
Mkomamazu
Thank you for sharing.Nilifanikiwa mkuu naendelea mdogo mdogo. Kifupi bidhaa huwa nanunulia maduka ya jumla pale Manzese Tip top na darajani na ndo nilienda kuna wauzaji waungwana sana wakanipa list zote na utaratibu wa kupanga bei.
Kuna jamaa walijitokeza humu kunisaidia ambao nilitaka niwape elfu 40,000 ila nikaona wazugaji tu. Mara tuma kwanza pesa mara njoo tuonane hii kasi sio rahisi kama unavyofikiri na wakati mimi nilitaka mtu aniandalie excel file yenye bidhaa zote na bei ya kununulia na kuuzia na wapi nikanunue alafu nampa hiyo 40,000 simple tu. Watu wagumu kweli. Baada ya kuona longo longo hizi na mimi ni mtu aisiyetaka complication na mtu wa kuyaona mambo hata magumu kuwa ni marahisi nikaachana nao nikaingia mwenyewe chimbo madukani na kwenye maduka ya akina mangi na kuulizia. Wengine walinifukuza na wengine walikataa kata kata hata kwa kuwalipa. Ila kwa vile penye nia pana njia nilifanikiwa. Na kwa vile sina hiyana na tamani watanzania wenzangu watamanio kuifanya hii biashara waifanye bila longo longo nyingi nimeweka hapa baadhi ya bidhaa ambazo nimezidowload kwenye accounting software ninayotumia dukani. So far so good nilianza na mauzo ya siku ya kwanza ya shilingi 10,200 nikala faida ya buku mbili kwa siku na kwa sasa in average mauzo ni 70,000 kwa siku with average profit ya 30% ambayo ni 21,000 kwa siku.
Nenda kafungue mkuu na niulize nikwambie ninayoyajua so far kwa hii experience ya miezi mitatu.
Karibu sana
Mkomamazu
Ahsante sana mkuu. Hapo kwa Nassoro ndo nilinunua bidhaa za kwanza kabisa kuna jamaa alinielekeza. Kwa lazaro sijafika, nitafika pia. Shukrani sanaHongera sana mkuu.
Kuna maduka mawili makubwa yapo tandale, moja wanaita kwa nasoro, Lingine wanaliita kwa lazaro wanauza hizi bidhaa kwa bei ya jumla. Bei zake zipo chini kdg ukilinganisha na maduka mengi ya manzese.
Location: baada ya kumaliza daraja la manzese uelekeo wa magomeni, barabara ya kwanza kushoto nenda nayo moja kwa moja jengo la kwanza la ghorofa kushoto kwako ndipo hapo kwa nasoro. Kufika kwa lazaro kutokea kwa nasoro, endelea na barabara hiyo hiyo uelekeo wa kwenda sweet coner, thn kunja barabara ya kwanza kulia, uelekeo wa tandale sokoni, kabla hukafika tandale sokoni, uliza dukani kwa lazaro utaelekezwa.
*Duka linalipa ukiwa makini na kazi
Karibu sanaNashukuru sana kwa mleta huu uzi kwani hata mimi mwakani ni
mejipanga kufungua duka la rejareja kupitia hapa nimeweza kujifunza mengi
Nadhani zamani kwa siku hizi mkuu sijui japo nadhani ni bora ukapambana upate chochote chako uanze biashara hiyo baadae kama unataka kuendelea ndo ukakope. Ila wazo tu bila uzoefu wa biashara kwa waswahili wa mabenki yetu hapa sijui kama inawezekana. Maana siku hizi watu wanachukua business plan online wanazi - customize kwenye idea zao na wengi wanakuwa na wasiwasi na feasibility ya kitu mpaka waone. Kukopa ili uanze biashara mimi sishauri sana bora upambane hata kama ikubuma unakuwa huna deni na mtu. Nimefanya hivyo maraja nyingi na zimenibumia na wala sidaiwi na mtu.Hivi mtu anaweza kukopeshwa na benki kwa kutumia bussness plan?
My pleasureThank you for sharing.