yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Yeah utafika mkuu.Hahahahaaaa...!!that's good....nakumbuka mwanzon nlkuw nachukua mzgo wa elfu 15...mpk watu wa duka la jumla walkuw wnacheka....
But now n full respect...!!nktaka kchukua mzgo ni laki 4 mpk 6
Uzuri mda mwng sikutumia faida nliiweka dukan....nljinyima vtu vng ili nifikie lengo
Naamini nitafika
Aitheee nakushauri ufungue duka la kuuza kondom
Aitheee nakushauri ufungue duka la kuuza kondom
Wazo zuri sana. Shukrani SanaMkuu unaweza anza kama umeshalipa kodi ya pango,leseni lazma uwe nayo kuna service levy unachangia na fire nao naona wameanza.
kwa mtaji wa 2m kama umeshalipa vyote unaweza anza kabisa nwnda pale manzese tiptop wanauza vitu vya jumla weka vitu kulingana na maeneo unayoishi weka vitu vinavyotoka mfano maji,juisi hasa mo juidi znapendwa sana kwa sasa unga wa embe,ngano,sukari ya kupima kama lipo uswazi mchele, maharage ya kupima, sabuni pia za mche, unga mafuta ya kula viberiti na vingine vidogovidogo.usijaze duka kwa mali ambazo haziuziki.
Asante kwa ushauriMr Mkia hiyo pesa ni ndogo sana hapo hujalipa kodi ya fremu, nakushauri ufanye biashara ambayo hutalipa kodi ya aina yoyote
Ulifatilia na leseni ya biashara? Au unapigana chenga na TRA?[emoji4] [emoji4]Mimi na wew tupo kwenye same boat....nilianza kama utani....sikuwa na sukari...mafuta...na bidhaa kibao....ila now nna kila kitu na still bado naona haitoshi....!!duka faida ipo...kama ukiwa serious na malengo...!!
Naungana na ninyi mimi,nakumbuka nilianza na Kuuza Mchele tu na Mafuta ya alizeti tu,siku ya kwanza nakumbuka nirudi nyumbani na 15k..iliniuma sana ila nikapiga moyo konde,sema nilianza fanya connection na watu,kuwa makini na mabadiliko ya bei na kuwajenga wateja ,uaminifu.. nashukuru kwa sasa siuzi chini ya 60k..na faida naiona kwa kila week...tuache kukatishana wadau,unachofanya wewe huenda sio passion yangu na nnachofanya mimi huenda wewe sio passion yakoMimi na wew tupo kwenye same boat....nilianza kama utani....sikuwa na sukari...mafuta...na bidhaa kibao....ila now nna kila kitu na still bado naona haitoshi....!!duka faida ipo...kama ukiwa serious na malengo...!!
Ulifatilia na leseni ya biashara? Au unapigana chenga na TRA?[emoji4] [emoji4]
Duh kumbe ndo mana uchumi wa nchi unakua kwa kasi[emoji4] [emoji4] , ushanikata maini kuifatiliaNdugu hlo lilikuw la kwanza..nlpewa TIN no. Then ikafuata lesen....sema sasa jamaa wakapanglia kodi kubwa...!!nkawa nawalipa lkn kiukweli niliona kabsa kuw wanakula faida yngu plus mtaji kidogo....nmewaandikia barua ya ombi la punguzo la kodi....!!ila wengi hpa nfanyapo biashara wamefunga na kuacha kwakuwa hela yte ilkuw inaenda serikalini