yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Naona bora hata duka la vyakula lina maslah kuliko duka la kawaida maana kuna bidhaa inakupa faida ya 8000 sasa kwny duka la kaawaida kuna baadh ya takeaway unanunua sh 417 unakuja kuuza 500 kweli utatoka?
Uzi una mwaka tayari, ingekuwa vyema mtoa mada hapa atupe mrejesho wa maendeleo ya biashara yake. Mkomamazu, njoo hapa tafadhali utueleze maendeleo yako.Chumvi kubwa kwa huku 12000
Chumvi ndogo 5000
Ponpon 40000
Freestyle hizi ni ped ndogo nabkubwa 22000
Betri aina zote ndogo na kubwa wakati kubwa huku nilipo ni 110000
Sukari kg 50 ni 105000
Sukar kg 25 ni 54000
Ngano azam bora 25500
Kleesoft sabuni ya unga kg 15 ni 31000
Nimesema mara nyingi so far so goo and I see the future holding well. Kikubwa naendelea vizuri tu na mimi lengo la kuleta uzi ni kutaka kupata taarifa kuhusu biashara ya rejareja. Maendeleo ya duka langu hayo ni ya kwangu wala halikuwa lengo langu kuu. Ila taarifa tu zihusuzo hii biashara.Uzi una mwaka tayari, ingekuwa vyema mtoa mada hapa atupe mrejesho wa maendeleo ya biashara yake. Mkomamazu, njoo hapa tafadhali utueleze maendeleo yako. Asant
Mkuu kama hutajali tengeneza group la whatsapp iwe rahisi kupeane updates mbalimbali kama bidhaa, bei zake na machimbo ya kupata bidhaa kwa bei nzuriNimesema mara nyingi so far so goo and I see the future holding well. Kikubwa naendelea vizuri tu na mimi lengo la kuleta uzi ni kutaka kupata taarifa kuhusu biashara ya rejareja. Maendeleo ya duka langu hayo ni ya kwangu wala halikuwa lengo langu kuu. Ila taarifa tu zihusuzo hii biashara.
Kweli itapendeza sana.Mkuu kama hutajali tengeneza group la whatsapp iwe rahisi kupeane updates mbalimbali kama bidhaa, bei zake na machimbo ya kupata bidhaa kwa bei nzuri
Apart frm this, dukan kwang nauza zaid sana pombe kal na lain {mbalimbali} Huwa naongeza bidhaa kutokana na uhitaji wa mteja. Anapohitaj kinywaji flan chaap nakifuatilia kama sina kwa ufup nafanya biashara kimkakati sanaa. Ss bas nahita idea ya bidhaa au hiduma nayoweza uza yenye faida kubwa. Sio chin ya 1000 ikiwa chin sana bas isipungue Faida 500.Asante ndugu
Naona bora hata duka la vyakula lina maslah kuliko duka la kawaida maana kuna bidhaa inakupa faida ya 8000 sasa kwenye duka la kaawaida kuna baadh ya takeaway unanunua sh 417 unakuja kuuza 500 kweli utatoka?
Chapchap unga grup 0718321418Whatsapp group muhimu sana mkuu tuwe tunapeana madini
Weka link ya group mkuuKama mnaniruhusu semeni su! WhatsApp group hilo
Weka link ya group mkuu
Whatsapp group muhimu sana mkuu tuwe tunapeana madini
Whatsapp group muhimu sana mkuu tuwe tunapeana madini
Chapchap unga grup 0718321418
link ishawekwa
Nashukuru sana.Namna nyingine ya kuboresha ni pmoja na kuwa na daftari la kuorodhesha bidhaa ambazo huna na mteja ameiulizia, mteja akiuliza bidhaa wewe note mahali mwambie imeisha tutaileta, then unasikilizia wngapi wataiulizia kisha unaileta.
Sent using Jamii Forums mobile app