Kuwaza ushirikina ni mambo ya kizamani sana. Hakuna ushirikina katika sayansi. Hao washirikina mbona hawaendi kuwafanyia ushirikina akina Azam, MO, Manji etcAcha kabisa. Mimi mara ya kwanza nilifungua Manzese. Ila washirikina walinifanya nifunge nikahamia nilipo sasa.
Hili swali huwa na mie najiuliza sana. Umenisaidia na umewasaidia wengi kuuliza swali hiliNatamani kufahamu unafanya vipi hesabu za dukani kwa ulichouza na kujua kujua faida hasa kama umemweka kijana?unacontrol vipi sales zako za kila siku
Vipi maendeleo ya Biashara Mkuu?Mimi nimeanza duka mwezi huu wa 3...nitatoa mrejesho vile limeenda baada ya miezi kadhaa... naamini sitashindwa..
Ila nimeamua kuspesholaizi kwenye bidhaa zinazoendana na misosi tu...
Kwa sasa nauza mchele,sembe,dona,ngano,sukari,chumvi,ngano isiyokobolewa,maharage,choroko,karanga,tambi,nazi(azam),mafuta ya kupikia,mayai,etc
Nataka pia kujitanua kuuza vingine pia vinavyolika na kunyweka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu, vipi ulishaanza?, how is it going?Nimeufanyia kazi huu uzi. Mungu akijalia wiki ijayo mwezi wa pili naanza kazi rasmi "duka la Mangi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sanaaHuu uzi umekuwa msaada sana kwangu na umeniongoza sana, mwezi huu wa pili nimefungua kibiashara changu [emoji120]
Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
Hongera! Comrade!Huu uzi umekuwa msaada sana kwangu na umeniongoza sana, mwezi huu wa pili nimefungua kibiashara changu [emoji120]
Upo maeneo gar dar auMoja Kati ya Uzi Bora kwangu ... Hatimae toka October 2019 ...Nilinunua biashara ya Duka Kwa mtu .... Mauzo per day sichini ya shillings laki 2 mpaka laki 3.5
Mkomavu shop ....[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii iahitaji location gani? Kati kati ya makazi ya watu au stend kabisa?Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
Wow, safi sana mkuu na vipi usimamizi, uko full engaged in mwenyewe, ama ni partial tu kuna mtu anasaidia?Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
Ndio nmeanza biashara so niko full mwenyewe ila kwa badae nitaweka mtuWow, safi sana mkuu na vipi usimamizi, uko full engaged in mwenyewe, ama ni partial tu kuna mtu anasaidia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hapo nakubali, maana makazi ya watu ndio wanadili sana na maduka ya aina hiiMakazi ya watu