Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Acha kabisa. Mimi mara ya kwanza nilifungua Manzese. Ila washirikina walinifanya nifunge nikahamia nilipo sasa.
Kuwaza ushirikina ni mambo ya kizamani sana. Hakuna ushirikina katika sayansi. Hao washirikina mbona hawaendi kuwafanyia ushirikina akina Azam, MO, Manji etc

Ukipenda ushirikina, utawaza kishirikina. Uliubaini vipi ushirikina kama hukutumia njia za kishirikina?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeanza duka mwezi huu wa 3...nitatoa mrejesho vile limeenda baada ya miezi kadhaa... naamini sitashindwa..

Ila nimeamua kuspesholaizi kwenye bidhaa zinazoendana na misosi tu...
Kwa sasa nauza mchele,sembe,dona,ngano,sukari,chumvi,ngano isiyokobolewa,maharage,choroko,karanga,tambi,nazi(azam),mafuta ya kupikia,mayai,etc

Nataka pia kujitanua kuuza vingine pia vinavyolika na kunyweka...

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi maendeleo ya Biashara Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu, vipi ulishaanza?, how is it going?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
 
Hii iahitaji location gani? Kati kati ya makazi ya watu au stend kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
Wow, safi sana mkuu na vipi usimamizi, uko full engaged in mwenyewe, ama ni partial tu kuna mtu anasaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibuni nauza unga wa lishe bei ya jumla 2500 kwa kilo
pia kuna sauce ya embe +pilipili 1500 kwa chupa ya mls 500
sauce ya ukwaju + pilipili 1200 kwa chupa ya mls 500
Bidhaa zote zinatengenezwa nyumban no added chemicals ..
karibuni
0755155782
 
Naomba kupewa ushauri wa Biashara ipi kwa wale wanao ijua Lamadi Iliyopo Busega. Nina mtaji wa 2milion Uzoefu wangu katika Biashara ya duka ni almost 5 yrs. Nataka nibadili Biashara nikienda hapo but sijajua niazie wapi. Help me please
 
Mkuu uko wapi wewe? Kwa Lamadi ni senta kubwa lakini kwa mtaji wa 2M ni kidogo sana mkuu, sidhani hata ni sahihi kusema ni duka, hicho ni kibanda mkuu samahani si kukatishi tamaa, ila hebu kama kuna uwezekano jitutumue kidogo maana kwa Lamadi huo mtaji wako ni ngumu kuonekana.

Je, unataka kuanzisha biashara gani mkuu?
Karibu sana lamadi mkuu, huu ni mji ulio endelea zaidi kuliko maeneo yote ya halmashauri ya Busega

Karibu sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka Kubadili Biashara. Unajua humu watu wana mawazo mapana Sana. So still Naomba mchakato nipo Bariadi huku
 
Back
Top Bottom