Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu



Kama utaidharau 2m basi hata 5m utaidharau...ndo maana wengi wanaanguka..there is no way to multiply money..aanze na hiyo atakua tu!
 
Sio hivyo labda hujanielewa mkuu,katika biashara huwa tubaangalia malighafi na mazingira,hivi unaweza niambia nitoke mpigamiti liwale nikafungue duka la mtaji wa 2m dar kaliakoo?

Mtaji wake ni mkubwa ila mazingira anayotaka kufungua biashara sio rafiki kwa mtaji wake ukilinganisha na umbali anaotoka kuja lamadi,ingekuwa mkaazi wa lamadi tatizo lisingekuwepo
Kama utaidharau 2m basi hata 5m utaidharau...ndo maana wengi wanaanguka..there is no way to multiply money..aanze na hiyo atakua tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mie naamini hakuna linaloshindikana ukiamua...Everything you've ever wanted is on the other side of fear!
 
Kwa iyo mkuu unataka kusema hawa watu wote tunao waona leo wenye mitaji ya ml 100 na kuendelea walianza na izo ml 100 na si kama walianzia chini kabisa tena unakuta ata mtaji wa mleta mada una hafadhari yaani watu wa Jf kweli tuna maajabu inafika mahala mtu bila aibu kabisa unasema kwamba ml2 si chochote kwenye kuanzisha biashara kweli mzee?

Ivi unajua kuwa kwa kkoo iyo ambayo umeisema kuna watu walianza biashsra wakiwa na mitaji ya 300,000 mpaka 500,000 na leo wamefanikiwa kuikuza mitaji yao

Inshort ni kwamba kama utaidharau ml 2 basi ata 10ml bado utaidharau mzee.

Kila ela inathamani na inaweza kufanya maajabu ikiwa itakuwa utilized vizuri!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo kuna watu wana mitaji ya 100k mzee, na jioni wanapeleka hela nyumbani. Tatizo umeangalia wale wenye mitaji mikubwa ya 50mil na kuendelea, kuna watu pale hata frame hawana and they still make money.
 
Lamadi hapo ndio nimejenga kanyumba kangu. Na siyo kwamba sijui Biashara nikienda. Ninarun hii kitu almost 5 yrs so Mie Naomba mawazo kulingana na Hela yangu. Pia matajiri wote wa Lamadi nawajua. Ugumu Sijawahi fanyia business hapo
 
Kariakoo kuna watu wana mitaji ya 100k mzee, na jioni wanapeleka hela nyumbani. Tatizo umeangalia wale wenye mitaji mikubwa ya 50mil na kuendelea, kuna watu pale hata frame hawana and they still make money.
Twende Tuu tutafika. Hope watu watakuja na positive idea
 
Mie Naamini ukiwa mkweli Tatizo lako laweza tatuliwa. Tunasema na location ili iwe rahisi Wajuzi kusema jambo according to eneo
 
Unapangaje bei ya kuuza bidhaa zako?
 
Ulipangaje bei ya bidhaa unazouza dukani kwako?
 
Mi nimefanya hii kazi sahiz na miaka mitatu,usijaribu kuweka mfanyakazi ndugu yangu, utaishia kuweka vitu tu hela hutaiona utapipa kodi na ghalama zingine simamia wewe km wewe,ukishidwa bora uache,mimi niliamua kunikana sina cha weekend wala nin mzigo nafata mwenyewe nafungua napiga kazi
 
Ndugu uko vizuri yaani umemuelesha vzr Sana tena kisomi, asilimia kubwa watanzania tumeelekeza jitihada zetu kuuza bidhaa badala ya kuzalisha bidhaa, hongera sana nmekusoma sana, na ndo mipango yngu nilipanga kufanya ivo utekelezaji ndo upo njiani
 

Niliwahi kuandika uzi wangu wa Jamhuri ya Wachuuzi wakaupiga pini. But reality vijana wengi mjini ni wachuuzi.
 
Niliwahi kuandika uzi wangu wa Jamhuri ya Wachuuzi wakaupiga pini. But reality vijana wengi mjini ni wachuuzi.
Nakumbuka ule uzi. Uliandika ukweli mtupu. JF imeweka ma moderator wenye akili mgando sana now days yaani wanataka post ziwafurahishe wao na nafsi zao kwanza na sio kuwa hapa ni platform ya uhuru wa mawazo na mtu atasema kile anachosikia kuwa ni sahihi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu, nimeupitia nikaishia kujiona mjinga tu maana kila siku najiita nna ideas kibao ila kumbe ni za kichuuzi.. ule uzi ni sahihi, na wangeupin juu jukwaani.
 
Mirejesho jamani ili tuzidi kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…