charzmachembe
Member
- Mar 27, 2017
- 5
- 9
Anza na afisa biashara atakueleza jinsi ya kulipia leseni na TRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu. Haya yote ni ya kuzingatia.1. Weka pipi za kutosha, mtoto mdogo akitumwa dukani kununua kitu unampa pipi moja bure. Ukifanya hivyo kila mtoto akitumwa dukani hata akiambiwa aende sijui duka la nani atakuja kwako
3. Wateja utaongeza kwa kuhakikisha mahitaji yao yote yanapatikana, sio anakuja unasema hiki kimeisha hiki kimeisha na kutoa huduma nzuri, aliyepo dukani awe mkarimu kwa wateja. Akija mteja mwanamke kununua dukani anamsifia sana hata kama hajapendeza (dada zetu wanapenda kusifiwa, unaweza kukuta mtu anakuja kununua vitu dukani kwako kila siku ilimradi tu umsifie - never underestimate this point) na usikopeshe, wateja watakukimbia wote.
Location umesema ni Manzese, hakikisha bei yako ya bidhaa ni bei ya chini. Ukiweka bei kubwa hawaji
Ni kweli kabisaYote kwa Yote mtegemee sana aliye kuumba
Kweli bei ni kivutio sana cha duka. Na ukipunguza 50 tu inaleta wateja kibaoKingine jaribu kuangalia bei za majiran usije ukaongeza bei50 Tu itakuaribia wateja wote
Hakikisha huuzi "HAMNA"1. Weka pipi za kutosha, mtoto mdogo akitumwa dukani kununua kitu unampa pipi moja bure. Ukifanya hivyo kila mtoto akitumwa dukani hata akiambiwa aende sijui duka la nani atakuja kwako
3. Wateja utaongeza kwa kuhakikisha mahitaji yao yote yanapatikana, sio anakuja unasema hiki kimeisha hiki kimeisha na kutoa huduma nzuri, aliyepo dukani awe mkarimu kwa wateja. Akija mteja mwanamke kununua dukani anamsifia sana hata kama hajapendeza (dada zetu wanapenda kusifiwa, unaweza kukuta mtu anakuja kununua vitu dukani kwako kila siku ilimradi tu umsifie - never underestimate this point) na usikopeshe, wateja watakukimbia wote.
Location umesema ni Manzese, hakikisha bei yako ya bidhaa ni bei ya chini. Ukiweka bei kubwa hawaji
HahaahahaaHakikisha huuzi "HAMNA"