Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Salamu kwenu wakuu,

Naomba tubadilishane uzoefu au tupeane mawazo kuhusu hii biashara ya duka la reja reja la vitu vya matumizi ya vitu vya nyumbani.

Sehemu muhimu za kugusia:
1. Ubunifu ambao unaweza kufanya kuonesha utofauti na wengine wenye maduka haya.

2. Bidhaa za tofauti yaani ambazo sio common katika maduka haya ambazo unaweza kuongeza ili kuvuta wateja zaidi.

3. Njia za kupata, kuongeza na kuretain wateja.

4. Mengineyo yanayofaa au ambayo unaweza fanya katika duka hili kama ubunifu.

NB: Tuchukulie eneo la biashara ni Manzese, Dar es salaam.

Karibuni.
 
1. Weka pipi za kutosha, mtoto mdogo akitumwa dukani kununua kitu unampa pipi moja bure. Ukifanya hivyo kila mtoto akitumwa dukani hata akiambiwa aende sijui duka la nani atakuja kwako

3. Wateja utaongeza kwa kuhakikisha mahitaji yao yote yanapatikana, sio anakuja unasema hiki kimeisha hiki kimeisha na kutoa huduma nzuri, aliyepo dukani awe mkarimu kwa wateja. Akija mteja mwanamke kununua dukani anamsifia sana hata kama hajapendeza (dada zetu wanapenda kusifiwa, unaweza kukuta mtu anakuja kununua vitu dukani kwako kila siku ilimradi tu umsifie - never underestimate this point) na usikopeshe, wateja watakukimbia wote.

Location umesema ni Manzese, hakikisha bei yako ya bidhaa ni bei ya chini. Ukiweka bei kubwa hawaji
 
Asante sana mkuu. Haya yote ni ya kuzingatia.
 
Hakikisha huuzi "HAMNA"
 
Biashara ya rejareja wengi wanaweka faida ya 20% nakuendelea,sasa wewe weka faida ya 10% kwa kila bidhaa hapo mzunguko wako wa mauzo utakuwa mkubwa .
 
KWANZA HAKIKISHA UNAWEKA REKODI ZISIZO PUNGUA 4,KAMA UNATUMIA TARAKILISHI ,HAKIKISHA UNAFUNGUA MAFAILI YASIOPUNGUA MANNE,NA KAMA UNATUMIA MADAFTARI NAYO YASIPUNGUE MANNE.YAANI :-

(1)-DAFTARI LA MANUNUZI YA BIDHAA.
hapo unaweka rekodi ya bidhaa zote unazotaka kuweka kwenye duka lako.

(2)- daftari la kurekodi bei kunyambua kila bidhaa ulionunua uiuze sh.ngapi na ili upate faida inayoeleweka.
Watu wengi wanafeli hapa.huwa wanaweka rekodi ya kununua lakini hawaweki rekod ya mauzo.

Mf.umenunua mfuko wa sukari wa 50kg.
Umeufikisha dukani basi usiuweke tu na kuanza kuuza,cha kufanya,chukua mzani wako pima tena sukari yote ili uhakikishe kweli mfuko umetimia kua na 50kg,kisha jiulize ,utauuza kwa siku ngapi kutikana na popuration ya wateja wako.

(3)- daftari la matumizi yako binafsi/famili.
Hapa unaweka rekod ya gharama za matumuzi yako ya kulasiku.

(4) daftari la madeni unayo dai na unayodaiwa,hii itakusaidia kujua au kuweka sawa mahesabu yako kipindi cha kupiga hesabu za mwisho ambazo umaweza kufanya kwa kila miezi mitatu,sita ,au hata mwaka.

Ila kwa ushauli.kama umeweka mfanyakazu mpya fanya mahesabo yako baada ya miezi mitatu ukikuta hasara labda ya elf50 kwa miezi mitatu ya mwanzo ,basi baada ya mitatu ingine iwe chini ya hapo ,ukiona hasara imeongezeka ujue anakuibia sio muaminifu hapo.

(5) mauzo ya kila siku,hapa unaweka rekod yako ya kuasi cha pesa kila unapofunga biashara yako usiku.hii pia inasaidua kujua nwenendo na support ya wateja kwenye buashara yako.
 
Zingatia: Biashara ikipata usimamizi wako binafsi mara nyingi haikuangushi, tofauti na hapo inabidi ujipange.
 
Back
Top Bottom