Biashara ya duka stress tupu

Anaesema haamini uchawi katika biashara, huenda hajawahi kufanya biashara, na kama anafanya biashara na kufanikiwa ni "maujanja" yake. Ndio maana waliofanikiwa wanaamini "mafanikio ni Siri na Siri ndio mafanikio". Na kama hujawahi kufanya biashara fanya kichwakichwa uyaone.
 
Kuna watu hawataelewa ulichoandika hapa..!
 
Good experience
 
kwenye poultry kuna mziki mwengine huko, wa matunzo mana makuku haya ya kisasa, mmh! maybe kama utafanya na wa kienyej
Hii ya poutry ni ngumu mara 2 zaidi ya duka.
Maana kuku wanahitaji care ya hali ya juu yaani uangalizi wake ni wa masaa 24.
Inabidi muda mwingine inakubidi uamke usiku wa manane ukaangalie kama kuna chakula cha kutosha,maji ya kutosha pamoja na usalama wao kwa ujumla.
Wakati duka uangalizi wake ni wa masaa 12 tu kisha unaenda kulala.
 
Kwaiyo kuku wa kisasa awa lali muda wote ni kula tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…