TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
- Thread starter
- #81
Kwenye swala la competitio ndio kwenye mtiti hapo unakuta jirani yako anauza vitu cheep sana hadi unashangaaa wateja wako wote wanaenda kwakeLabda kama unatafuta Uhuru tu. Lakini hakuna biashara isiyokuwa na stress. Kwenye poultry kideri kinaweza safisha Kuku 10000 kwa siku 2 haa usipokuwa na moyo mgumu lazima udate.
But hakuna lisilowezekana ukiwa na nia.Pia biashara ya duka kwa sasa ni outdated.
Uzalishaji, kutoa Huduma au uongezaji thamani vitu ndio biashara za dunia ya Leo so uko sahihi kwenye poultry.
Biashara ya duka kupata competition ni rahisi mno ndo maana mnasingizia uchawi kozi mtu yeyote anaweza fungua akiwa na pesa hakuna ubunifu wa kutisha unaohitajika hata uchawi hamna Bali mnagawana Wateja tu.
In fact poultry my best passion