Wewe utakua sio mwny duka, utakua umewekwa na boss wako au mzazi wako.
Kwa nnavofahamu
mfanyabiashara aliye serious na biashara yake hawez kua na mawazo ya kitoto kama hayo.
(Eti haina freetime, No bataz)
Mfanyabiashara alie serious;
1.Always huwaza jinsi ya kukomaa dukani, kuongeza usimamizi ili aongeze mauzo yake na aweze kupata mafanikio haraka iwezekanavyo.
Na sio kuwaza Kukaa mbali na duka lake.
2.always huwaza jinsi ya kubana matumizi ili aweze kukuza mtaji wake kutokana na faida itokanayo na biashara yake.
Na sio kuwaza kula bats ili kufuja mtaji wa biashara yake.
MTOA MADA INABIDI UJITAFAKARI KWA MAKINI