Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Soda za Tanga hizo , tamu km nnHizi anjari kumbe bado zipo
Tuna shidaUmekuwa Utamadini Kuendeleza Kwa Generation Ijayo Sasa Kwetu Watu Wanawaza Family Pekee Na Hapo Ubinafsi Unaibuka Kuanza Kuchukiana Na Kugombana.
Huwezi elewa 7bu nyumba zenu za urithi mshauza mashamba mshauzaSijaelewa kabisa
Tuna roho za kichawi balaahBongo bahati mbaya....unakuta dingi ana hela hatari ila hataki mwanae yoyote atie mguu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Umekumbuka kreti za mbao zile ndio soda zilikuwa zinabamba sana....Sasa zipo Tanga tu na Mombasa kwa mbali.Hizi anjari kumbe bado zipo
Watu wanakaa kikao kabisa tena wanasema mali iuzwe wagawane sabb haina mwenyewe kila mtu akafie kivyake 🤣Hawa wahindi watupe maujuzi aisee, mashamba ya babu wajukuu wameshindwa endeleza na kwa kikao kikuu wamekubaliana wauze wagawane mshiko..... ngozi ya pumbu shida sana
Umekumbuka kreti za mbao zile ndio soda zilikuwa zinabamba sana....Sasa zipo Tanga tu na Mombasa kwa mbali.
Nakumbuka kukutana nazo japo kwa uchache zilikuwa tamu sanaSoda za Tanga hizo , tamu km nn
Hutakaa uelewe.Sijaelewa kabisa
Yule wa Ivory coast ?Yule mu algeria hajakosea
Tutazunguka lakin shida niKutengeneza biashara ambayo itadumu vizazi na vizazi sio kazi ndogi hasa kwa ngozi nyeusi. Yapo mambo mengi sana yanachangia bishara hizi kufa mapema ikiwa ni pamoja na nyingi kuendeshwa bila mpango maalumu yan biashara inaenda ili ikidhi mahitaji ya familia basi lakini haina succession plan na hapa ndipo hawa wahindi na waarabu wanapotuzidia